Kuna wanaume jamani, hadi unamuonea wivu mwanamke mwenzio. Ila ukikutana na furushi sasa!! Unalia kwa niaba ya mwanamke mwenzio.Ni kweli kabisa kuna wanawake Wana raha sana yani unakuta mume anajali mpaka wivuuu
Na wengine sasa ni shida tu
Kweli the world is not fair
Hahahaahhahahaahahahahaha duhhhhhhhhhhh nimecheka sana hii pointShost mmoja alipeleka kesi kwa wakwe, mume hasafishi choo, vilimkera sana, anasema kama hakisafishi basi asikitumie. Conclusion ilifikiwa kila akisafisha mume amlipe.
Yaani acha tu.Daah!!! Its tough but God alituumba wanawake kuhimili hizo kazi...
Kuna wanaume jamani, hadi unamuonea wivu mwanamke mwenzio. Ila ukikutana na furushi sasa!! Unalia kwa niaba ya mwanamke mwenzio.
True mahondawNa wanaume wengine Wana dhana ya kwamba ukitafuta house girl ni uvivu uzembe. Wanachukulia kirahisi sana yani laiti wangejuaaaaaa mungu anawaona tu na hapo uwe mfanyakazi sasa ndo balaa
Na hata hao wamama wa nyumbani pia they need to rest sometimes nasio kufanya kazi kama punda
Not fair at allNi kweli kabisa kuna wanawake Wana raha sana yani unakuta mume anajali mpaka wivuuu
Na wengine sasa ni shida tu
Kweli the world is not fair
Sana,bora mtoto kuliko maradhi jamani,mtoto nitaleaTena bora aje mwenyewe, wengine wanarudi na watoto au maradhi kabisa.
Hahahaa du atakua alikua haflashShost mmoja alipeleka kesi kwa wakwe, mume hasafishi choo, vilimkera sana, anasema kama hakisafishi basi asikitumie. Conclusion ilifikiwa kila akisafisha mume amlipe.
Shost mmoja alipeleka kesi kwa wakwe, mume hasafishi choo, vilimkera sana, anasema kama hakisafishi basi asikitumie. Conclusion ilifikiwa kila akisafisha mume amlipe.
Hilo la brown nataka la blue
Akitoka hapo shati ulomnyooshea halitaki unyooshe lingine.
Mungu hawezi kukupa mzigo ambao huwezi kuubebaDaah!!! Its tough but God alituumba wanawake kuhimili hizo kazi...
Kaone.. cha kunipandisha mlimani halafu unishushe nn?shemeji ni wewe au mmakonde kakuandikia?