Thamani ya mke

Moyo unavuja damu taratibu..kufa mapema...kupooza..kusahau...kulia kila siku ukitoka nje kicheko "cha kulazimisha" angalau uwafikishe watoto mahali fulani jamani!!! Mungu aingilie kati !
 
Awabariki sana wanaume hao na ukiwakuta utashangaa kumbe wapo na wanajali hasa
 
Nilimtembelea my sister wakati kajifungua alafu house maid kasepa, alafu kuna watoto wadogo wa3, yaani nilikuwa nalala kama mbeba zege.
Wiki3 ila duuuuh!!!

Emagine sasa hayo ni maisha ya mtu ya kila siku.
 
Hatari anaanza kuvulia mlangoni hadi bafuni anadondosha kimojakimoja akitumia bafu utafikiri yumo kwenye jaccuuz maji bafu zima ukasafishe upya
Shost mmoja alipeleka kesi kwa wakwe, mume hasafishi choo, vilimkera sana, anasema kama hakisafishi basi asikitumie. Conclusion ilifikiwa kila akisafisha mume amlipe.
 
Hatari anaanza kuvulia mlangoni hadi bafuni anadondosha kimojakimoja akitumia bafu utafikiri yumo kwenye jaccuuz maji bafu zima ukasafishe upya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akitoka hapo shati ulomnyooshea halitaki unyooshe lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…