Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,604
- 5,195
Ndio sababu sasa tunataka tumng'oe kama BAGBGO iwapo atajaribu kutuibia tena kura, kitimoto we.
Ndio sababu sasa tunataka tumng'oe kama BAGBGO iwapo atajaribu kutuibia tena kura, kitimoto we.
328 KM Simanjiro to BabatiNdiyo huko huko Manyara mkuu, funguka tu usiogope.
Mrija umekwatwa babaHuyu mnyeti si ndio anasemekana ndie aliyejenga uwanja, wa Gwambina na ndio mmiliki wa Gwambina FC.. Ngoja tusubiri tuone yale ya Singida United.
Mkuu nadhani unaogopa kufunguka, course naona comment nyingi humu unazijibu mujarabu ila nyingine unaruka km 328 😃!!328 KM Simanjiro to Babati
HahahaMkuu nadhani unaogopa kufunguka, course naona comment nyingi humu unazijibu mujarabu ila nyingine unaruka km 328 😃!!
Eti ulisemaje? Haahaaaa ina maana Rais kapotosha watu?Tanzania haiwezi kufanywa Kama Congo kamwe.
Ole Mushi
0712702602
Eti unasemaje mkuu? Haaahaaa ila hii nchi ilikua inaendeshwa kwa propaganda sana.Juzi alipokuwa akihutubia wananchi Morogoro kwenye hafla ya uwekaji mawe ya msingi mahandaki ya sgr alichomekea kauli kwamba light ule ukuta ungejengwa tangu mwaka 1965 tngekua tumefikia wapi saivi,mi tangu siku ile ndo nimemuelewa mazima
Mkuu umebadili ID au utaridi kukana ulichoandikaWewe inaonekana ulikuwa unatorosha madini sasa umebanwa.
Kama wewe ni.mtanzania basi ni bora ungeondoka na corona tu, kubaki kwako katika nchi ni hasara tu.
Ila kama wewe ni mkenya basi tunakupa pole maana ulizoea vya kunyonga, sasa vipo vya kuchinja.
Eti unasemaje mkuu? Haaahaaa ila hii nchi ilikua inaendeshwa kwa propaganda sana.
Mkuu kwa faida ya wengi.... Kitalu C kinamilikiwa na nani kisheria? Kwanini wanazuia kisigawiwe kwa watu?Hii inaonesha wizi Tanzania ulikiwa umefikia point of no return. Kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi.Kama mpaka kitalu "C" Mererani kinapigwa!.. hali ni tete sana.
Mama kawalisha matango poriHii inaonesha wizi Tanzania ulikiwa umefikia point of no return. Kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi.Kama mpaka kitalu "C" Mererani kinapigwa!.. hali ni tete sana.
Mmelishwa matango pori,mama mkurupukajiNilikuwa namsikiliza Mh Rais Samia nijua nimemsikia vibaya ,tuliaminshwa kwamba ujenzi wa ukuta umeondoa kabisa wizi wa madini ,lakini SSH ametamka wazi pamoja na kujengwa ukuta na kuweka wanajeshi bado watu wanapiga madini kama kawaida.
Hizo kura 100 kamuwekee kaburini kwake bado anazihitaji sana huko aheraNi baada ya frustration za kuikosa hii biashara wakenya kwa kushirikiana na bavicha wakazusha ukuta unalindwa na jeshi la rwanda[emoji3][emoji38]. Wakaenda mbali zaidi kwamba kuna ndege inaondoka na shehena ya Tanzanite pale KIA kila wiki kuelekea kigali. Saizi dawa imewaingia akili zimekaa sawa.
JPM nidai kura 100 kwa uliyoyafanya katika sekta ya madini
Mmelishwa matango pori,mama mkurupukaji
Na ndio maan akasema vyombo vya habali vifunguliwe mkashangili lakini sijui kama mtafata sheria,nadhani bado mtarudi selo tu maaana mna vichwa vigumu.Nilikuwa namsikiliza Mh Rais Samia nijua nimemsikia vibaya ,tuliaminshwa kwamba ujenzi wa ukuta umeondoa kabisa wizi wa madini ,lakini SSH ametamka wazi pamoja na kujengwa ukuta na kuweka wanajeshi bado watu wanapiga madini kama kawaida.
Na ndio maan akasema vyombo vya habali vifunguliwe mkashangili lakini sijui kama mtafata sheria,nadhani bado mtarudi selo tu maaana mna vichwa vigumu.
Baba wa matango pori ni mwendazake.Mama kawalisha matango pori