Thadei Kweka aachiwa huru

Ubalozi wa Marekani ulituma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei alitakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa "involved" kwenye kesi yake. Ni kawaida Marekani kufuatilia kesi yoyote inayohusu raia wake. Lakini polisi walikataa asisaini. 😂😂😂😂
 
Jana Mawakili wa Thadei wali-file "Habeas corpus" ili kuwalazimisha Polisi wamfikishe mahakamani. Pia Ubalozi wa Marekani ukataka kujua kwanini Thadei hajasaini "Consular Notification and Access Form" ili waweze kufuatilia kesi yake. Haraka sana Tahdei akapewa fomu ya ubalozi akasaini jana, na leo ameachiwa huru 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yule mwanasheria aliyesema lazima tamleta Mange sijui hii imekaaje!?
 
Kama alivyosema rostam?(inapigwa simu tu)
Lakini kwa kuwa hii mumeipenda mnaihalalisha?

Double standard
Nani kapiga simu? Ubalozi ulimpa support kama raia wake na wakataka asaini zile documents huko mahakamani lakini mkazuia, mkakataa hata mawakili wake wasihudhurie kesi, mkaisikiliza kesi upande mmoja, leo weekend ghafla mmemuachia

Ni uoga wenu tu ndio umefanya mmemuachia.
 
Pitia tu comments utamuona aliyesema
 
Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe

P
Ila we mzee mnafki balaa 😹😹😹
Si unawatetea hao wadhalimu?
Kumbe haupogo serious 😹
 
10,000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…