field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,975
- 4,552
Mama ameshajinyea....Amezoea kuonea watanzania, ameogopa kuwa watam-maduro.Taarifa ya hivi punde...
Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo.
View attachment 3524678
KWA KINA:
Thadei Kweka ameachiwa huru leo January 3, 2026 baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kupitia group la "What sup".
Thadei ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania alikamatwa December 28, 2025 usiku na kushikiliwa kituo kikuu cha Polisi (Central) Moshi. December 31, 2025 alipandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kupewa AMRI ya kutoa password ya simu yake ili polisi waweze kupekua hilo group la "What sup" alikokuwa akifanya uchochezi.
Hata hivyo Thadei alisema hatambui "What sup" ni kitu gani na hana application ya aina hiyo kwenye simu yake. Pia alisema kutokana na unyanyasaji aliofanyiwa na polisi, alipoteza kumbukumbu ya mambo yake mengi ikiwemo password ya simu yake.
Ubalozi wa Marekani ulituma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei alitakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa "involved" kwenye kesi yake. Ni kawaida Marekani kufuatilia kesi yoyote inayohusu raia wake. Lakini polisi walikataa asisaini.
Jana Mawakili wa Thadei wali-file "Habeas corpus" ili kuwalazimisha Polisi wamfikishe mahakamani. Pia Ubalozi wa Marekani ukataka kujua kwanini Thadei hajasaini "Consular Notification and Access Form" ili waweze kufuatilia kesi yake. Haraka sana Tahdei akapewa fomu ya ubalozi akasaini jana, na leo ameachiwa huru
Lete lile andiko lako la kinafiki la Jana Mwanasheria wa Majanimapana.Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
kama jeshi letu linashindwa kulisambaratisha hilo genge basi tuombe msaada toka kikosi cha kimarekani kije kulisambaratisha hilo genge. Inaonekana hilo genge ni la kimafia na limejizatiti vemaMsicheze kabisa na damu za watu saa hizi mnatoka waziwazi na kukiri nchi inaendeshwa na genge la wauaji na watekaji.
View: https://x.com/i/status/2007400040143409556
Muone hapo mnafiki mwenzio.
View attachment 3524695
Alipelekwa mahakamani tarehe 31 december 2025. Get your facts right.Dhama ya kipolisi, hakuwahi kupelekwa Mahakama ili awekwe ndani
Kila mbabe ana mbabe wakeLakini hii taarifa yako umeongeza chumvi sio kila kitu asingiziwe Rais bwa a
Kumbe unatambua tuko sirikali ya machinjachinja sasa mbona unasema Tumsamehe?Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Hilo genge siku zake si nyingi litasambaratishwa na watanganyika wenyewe tu wanaoitakia nchi mema.kama jeshi letu linashindwa kulisambaratisha hilo genge basi tuombe msaada toka kikosi cha kimarekani kije kulisambaratisha hilo genge. Inaonekana hilo genge ni la kimafia na limejizatiti vema
Mwanasheria unamaanisha angalipotea chini ya ulinzi?Kiukweli kuwa raia wa nchi zinazojitambua, it's a very big deal,
US passport imemuokoa, bila hivyo, saa hizi...zamaani!.
Bwana asifiwe
P
Beberu ni noma....Taarifa ya hivi punde...
Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo.
View attachment 3524678
KWA KINA:
Thadei Kweka ameachiwa huru leo January 3, 2026 baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kupitia group la "What sup".
Thadei ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania alikamatwa December 28, 2025 usiku na kushikiliwa kituo kikuu cha Polisi (Central) Moshi. December 31, 2025 alipandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kupewa AMRI ya kutoa password ya simu yake ili polisi waweze kupekua hilo group la "What sup" alikokuwa akifanya uchochezi.
Hata hivyo Thadei alisema hatambui "What sup" ni kitu gani na hana application ya aina hiyo kwenye simu yake. Pia alisema kutokana na unyanyasaji aliofanyiwa na polisi, alipoteza kumbukumbu ya mambo yake mengi ikiwemo password ya simu yake.
Ubalozi wa Marekani ulituma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei alitakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa "involved" kwenye kesi yake. Ni kawaida Marekani kufuatilia kesi yoyote inayohusu raia wake. Lakini polisi walikataa asisaini.
Jana Mawakili wa Thadei wali-file "Habeas corpus" ili kuwalazimisha Polisi wamfikishe mahakamani. Pia Ubalozi wa Marekani ukataka kujua kwanini Thadei hajasaini "Consular Notification and Access Form" ili waweze kufuatilia kesi yake. Haraka sana Tahdei akapewa fomu ya ubalozi akasaini jana, na leo ameachiwa huru
Wameona kilichomtokea Maduro wameanza kujamba 😂.
Heshima gani wakati kwa miaka 64 mnapewa misaada. Leo mbwa ninyi mnajifanya eti hamtaki misaada wakati mmenyimwa misaada mafala ninyi.TOKA MAKTABA
Jeuri ya Prof. Palamagamba Kabudi akibagaza komenti za watu wa mitandao na matamko ya mabeberu
TAMKO ALILOLITOA WAZIRI KABUDI LEO "TANZANIA ITACHAGUA HESHIMA BADALA YA FEDHA AU MISAADA"
View: https://m.youtube.com/watch?v=QaZ5VGvpemc
Huyu si Waziri wa michezo...au alishabadikishwa Wizara?TOKA MAKTABA
Jeuri ya Prof. Palamagamba Kabudi akibagaza komenti za watu wa mitandao na matamko ya mabeberu
TAMKO ALILOLITOA WAZIRI KABUDI LEO "TANZANIA ITACHAGUA HESHIMA BADALA YA FEDHA AU MISAADA"
View: https://m.youtube.com/watch?v=QaZ5VGvpemc
Jaduong upo sala Mwanza? Mitu ya kiricho.Unafikiri kuwa Maduro mwingine ni rahisi.
Hizi task force za kwetu ujinga mtupu. Unamkamata mtu ndiyo unamtafutia kosa ?! Ujinga wa lami
Na Trump kasema kilichomtokea wa Venezuela kinaweza tokea kwa mwanasiasa au mwanajeshi yeyote ile.Kama ninawaona madictator uchwara wanavyohaha.Mtu anakamatwa nchini kwake na wanaondoka naye hii itamtisha kila mtu
Kazi kweli kweli...Hapa ndipo mihimili yetu inaposhangaza sana unamkamata mtu unamtwisha kosa kubwa lisilo kuwa na dhamana katikati ya michakato tunamuona tena hyo mtu akiwa mtaani
Katika haya tutaendelea kudharauliwa tu
Na hawajaanza leo. Rais Noriega aliwahi kukamatwa nchini kwake Panama, akapelekwa Marekani akashtakiwa, akahukumiwa akafungwa jela miaka kibaoMtu anakamatwa nchini kwake na wanaondoka naye hii itamtisha kila mtu