TGIF:Jikumbushe na RTD Club Raha Leo Show na Julius Nyaisanga

It Was Fantastic!!!!!!
Waalikwa Waliweza Tuma Salamu Zao Live Moja Kwa Moja...!
club Raha Leooo........... Shooooooooo!!!1!!
 
woooow, absolutely classic, reminiscing!! I loved it to bits! Thanx GQ.
 
Gq, safi sana!
wakati huo nikitoka shule tu, nakaribishwa na kipindi cha "shambani"
kuna kawimbo fulani ka kipindi,
"shambaani shambaani"
"shambaani shambaani"
"mazao bora shambaani"

"haya twendeni shambaani"
"wananchi tukaalime"
......................
 
Gamba la Nyoka, umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo hakukuwa na stress za maisha kama ilivyo sasa, maisha yalikuwa magumu but watu walikuwa relaxed. I wish I could rejuvinate myself and start all over again in the same old settings!!!
 
Nafurahi kwamba hiki kipindi kimewakumbusha wengi sana miaka mingi iliyopita enzi hizo ambapo Radio Tanzania ilikuwa kimbilio la wengi wanapotaka kujiliwaza na burudani mbalimbali za muziki., ahsanteni sana wote.

Kuna hii nyingine msikilizeni Mikidadi Mahmoud enzi hizo akiwa RTD kwenye kipindi chake cha Tanzania Rhythm nadhani ilikuwa External Service hii http://www.eastafricantube.com/media/11658/RTD-MIKIDADI_MAHAMOUD/
 
Gamba la nyoka,
Kuna wakati RTD walikuwa wanauza CD na tapes za vipindi vyao vya zamani na baadhi ya nyimbo za Zilipendwa, sasa sijui kama bado wanafanya hivyo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom