Manina zake mbwiga mbwa huyu msomali.Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu.
Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12
Sasa yametimia! Mabadiliko hayo ya kikanuni yamefanyika ndani ya muda mfupi zaidi ili kukamilisha mataakwa ya Klabu ya Simba baada ya kuonekana kuwa wasingeweza kufanya vyema kwenye michuano ha CAF kwa idadi ndogo ya wachezajia wa kigoni ambayo ni 10. Kilicho changia zaidi ni kuondoka kwa Miqqie & Chama, viongozi wengi wa simba waliona haana uwezo wa kuziba mapengo hayo kwa ufanizi zaidi hivyo njia pekee ni kumvutia waya Rais wa TFF na kumuelekeza abadilishe kanuni mapema ya idadi ya wachezaji wa kigeni kabla ya tarehe 15 ili kuipa nafasi Simba SC ya kuwa na chaguo la wachezaji wengi.
View attachment 1892097
Ikumbukwe, klabu kama ya Yanga SC ilizipata taarifa hizi chini kwa chini ndipo nao wakaanza mchakato wa kufanya mazungumzo na wacheza wengi zaidi. Usije kushangaa pia Yanga SC wakawa na ongezeko la ziadala wachezaji wa kigeni zaidi ya wale 10, hiyo ni kutokana na kupata taarifa hizi kupitia maofisa ndani ya TFF.
Azam FC nao haakuwa na ili waa lile, taarifa walizipata ila hawakuzichukulia kwa uzito mkubwa zaidi kwa kuwa mpango huu uliwajia kipindi ambacho walikuwa wamefunda ausajili wa wachezajai wa kigeni ka kutumia kanuni ileee ya wachezaji 10.
Kibaya zaidi hii taarifa haikuzingatia kuwa kuna timu yingine ambazo nazo zinahitaji kupewa muda wa kusajiri.
1. Kutokuwa na taarifa ka wakati sahihi zimefanya klabu kama Azam FC kutokamilisha idadi ya usajili wa wachezaji wa kigeni kulingana na kanuni mpya ya Karie.
2. Hata kama nao Yanga wakiamua kusajili muda huu basi watafanya hivyo kwa kukurupuka pasi na kua na muda wakutosha.
3. Mabadilko hayo yameazzingatia matakwa ya klabu moja tu hiyo yote ni kwa ajili ya mapenzi ya dhati yanayotanguizwa mbele bila kuzingatia usawa (fair play) kwenye soka.
Kiufupi:- Nilikuwa pale ofisi za TFF ka shughuli binafsi hapo ndipo nikapata wasaa wa kujulishwa hili jambo na chanzo cha kuaminika.
View attachment 1892095
Mabibi & Mabwana Huyo ndio Kiongozi wa Mpira wa Bongo.