pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,847
- 2,738
Unajua walipeleka pendekezo lipi? Maana kubadilishwa hilo pendekezo hapo sio kwamba yanga ndio walipendekeza.Kwa mujibu wa mtendaji wa bodi ya ligi waliviandikia vilabu na wadau ili kupata maoni juu ya kanuni za ligi mwaka huu, klabu pekee iliyopeleka maoni ni yanga ila kwa sababu ukilala ukiamuka unaiwaza Simba ndio maana fikra zako zinahisi ni Simba ndio waliopeleka hayo maombi.