Jameni nyie acheni dhihaka mjue
Unasema hayo sababu ya mihemuko tu ya kisiasa. Ivi tangu nape awe mwana siasa, ulikuaga unamsapoti?Walipaswa kumpa pole Nape. Au TFF ni walamba nyayo za mabwana zao?
Unasema hayo sababu ya mihemuko tu ya kisiasa. Ivi tangu nape awe mwana siasa, ulikuaga unamsapoti?
Unasema hayo sababu ya mihemuko tu ya kisiasa. Ivi tangu nape awe mwana siasa, ulikuaga unamsapoti?
hahahahah.......Mwakyembe ni kiraka hakichagui nguoMpaka awamu hii ikiisha Mwakyembe atakuwa waziri wa kila wizara, akitoka kwenye hii ya michezo ataenda jinsia na watoto.
Wanataka asaidie kulipa deniTFF wanajihami mapema