TFF waandika broken English tena

TFF waandika broken English tena

Nadhani kuna tatizo hapo TFF hii si mara ya kwanza.Mnakumbuka wakati ule wa Ngao ya jamii waliandika "Community Sheild" badala ya Community Shield.Sasa wamekuja na International Frirndly Match nadhani walikusudia kuandika International Friendly Matchm
 
Mkuu mbona hata Wewe pia umekosea hapo? Haiandikwi autocorrect kama ulivyoandika Wewe bali inaandikwa auto correct. Kazi ipo hakyanani!

Mbona hata wewe umekosea?
Utachanganyaje herufi kubwa na ndogo kwa namna hiyo?
 
Nadhani kuna tatizo hapo TFF hii si mara ya kwanza.Mnakumbuka wakati ule wa Ngao ya jamii waliandika "Community Sheild" badala ya Community Shield.Sasa wamekuja na International Frirndly Match nadhani walikusudia kuandika International Friendly Matchm
Kama wewe tu badala ya Match umeandika Matchm.
 
Kosa la kipumbavu. ELIMU ELIMU ELIMU
 
Tunaesabu mjue, ikifika tatu mtaenda kuongoza mbumbumbu wezenu kule Msimbazi.
 
Back
Top Bottom