Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,932
- 30,045
Ni Tunahesabu,Tunaesabu mjue, ikifika tatu mtaenda kuongoza mbumbumbu wezenu kule Msimbazi.
Sio Tunaesabu
Pia ni Wenzenu,
Sio Wezenu
Ni Tunahesabu,Tunaesabu mjue, ikifika tatu mtaenda kuongoza mbumbumbu wezenu kule Msimbazi.
Waongeze umakini kwa vitu vinavyoenda kusomwa na watu wa nje.HIYO SIO BROKEN WEWE.HIYO NI KUCHANGANYA HERUFI TU.
KWENYE KIBODI R NA E ZIKO KARIBU MNO.NI KOSA LA KAWAIDA KABISA

Sasa wangeandika pg mbili si ingekuwa kitukoHIYO SIO BROKEN WEWE.HIYO NI KUCHANGANYA HERUFI TU.
KWENYE KIBODI R NA E ZIKO KARIBU MNO.NI KOSA LA KAWAIDA KABISA
Kibodi>>>>KeyboardHIYO SIO BROKEN WEWE.HIYO NI KUCHANGANYA HERUFI TU.
KWENYE KIBODI R NA E ZIKO KARIBU MNO.NI KOSA LA KAWAIDA KABISA
UTAGUNDUA SIO KOSA LA KAWAIDA PALE BENKI BADALA KUANDIKA 90,000 ukaandika 900,000 kosa dogo tu si ni sifuri moja tuWaongeze umakini kwa vitu vinavyoenda kusomwa na watu wa nje.
Wewe hayo unayasema au ndiye uliyeandika unajitetea hapa?hill ni kosa ondoa upumbavu wako hapa.Mkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufi mbili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika
Just a typing error!! Wala siyo broken englishHivi hata hao waingereza huwa hawakosei uandishi?
Maana wabongo ukiandika kiingereza basi usikosee uandishi utaambiwa hujui kiingereza.
Sawa kabisa lakini kosa la numeric (1,2,3,4) ni tofauti na kosa la character (a,b,c,d) kwa maana ya consequences.Unaona hapo TFF tumegundua kosa lakini 900,000 huwezi kugundua harakaHatari sana
UTAGUNDUA SIO KOSA LA KAWAIDA PALE BENKI BADALA KUANDIKA 90,000 ukaandika 900,000 kosa dogo tu si ni sifuri moja tu
Kwan kiswahili hakitasomeka
Hahahahaa unatetea ujinga na ww, kwanini asisome kabla ya kupost ana haraka ganiMkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufi mbili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika
Uko karibu sana na uhalisia ni typing error key ktk keyboard imemsaliti mchapaji.Mkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufiili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika
Pumbavu mwenyewe, Jinga sana weweWewe hayo unayasema au ndiye uliyeandika unajitetea hapa?hill ni kosa ondoa upumbavu wako hapa.
Sitetei kosa,Hahahahaa unatetea ujinga na ww, kwanini asisome kabla ya kupost ana haraka gani
Yeah,Uko karibu sana na uhalisia ni typing error key ktk keyboard imemsaliti mchapaji.
Kuogopa kukutwa na wasiojulikanaWalikuwa na haraka gani wasihariri?