TFF waandika broken English tena

TFF waandika broken English tena

Sawa kabisa lakini kosa la numeric (1,2,3,4) ni tofauti na kosa la character (a,b,c,d) kwa maana ya consequences.Unaona hapo TFF tumegundua kosa lakini 900,000 huwezi kugundua haraka
Hiyo account haina editor??
 
Hiyo account haina editor??
Hiyo ndiyo hoja ya msingi siyo kwamba TFF hawafahamu kizungu cha neno Rafiki.Ila nje ya Mada kidogo,Jana nilikuwa uwanja wa Uhuru kuangalia Stars vs Malawi.Stars hovyo sana Malawi walikuwa wanatulamba chenga Hatari.Timu haina discipline nk
 
Hiyo ndiyo hoja ya msingi siyo kwamba TFF hawafahamu kizungu cha neno Rafiki.Ila nje ya Mara kidogo,Jana nilikuwa uwanja wa Uhuru kuangalia Stars vs Malawi.Stars hovyo sana Malawi walikuwa wanatulamba chenga Hatari.Timu haina discipline nk
anhaaa sawa mkuu
 
SIKU ATAKOYANDIKA PALE BENKI KUWA MAPATO YA MECHI NI SHS 900,000 BADALA YA 9,000,000 NA KUMPA TELLER 9.000.000 NDIO ATAJUA KOSA DOGO LINAWEZA LIKAMLETEA SHIDA KUBWA
...punguza ujuaji wa kipimbi dogo!
..wewe mwenyewe umekosea kuandika,
.na mbaya zaidi hujui lolote hata taratibu za kibenki!
 
ND
...punguza ujuaji wa kipimbi dogo!
..wewe mwenyewe umekosea kuandika,
.na mbaya zaidi hujui lolote hata taratibu za kibenki!
Ndio hii nchi kuendelea ni shida.mpo wengi sana wenye matongotongo.Mzungu gani atakuajiri mtu kama wewe.Wakati mwingine nasema Magufuli aendelee kubana mpaka tunyooke kwanza!
 
Hahaha aisee...


Inafurahisha sana kujua kumbe tuliokimbia umande tunavyeo sekta mbalimbali kumbe
 
ND

Ndio hii nchi kuendelea ni shida.mpo wengi sana wenye matongotongo.Mzungu gani atakuajiri mtu kama wewe.Wakati mwingine nasema Magufuli aendelee kubana mpaka tunyooke kwanza!
....duh!
...wewe wa kuhurumiwa tu.
.sasa nimechagua kukupuuza,
....kafie mbele!
 
k
....duh!
...wewe wa kuhurumiwa tu.
.sasa nimechagua kukupuuza,
....kafie mbele!
kutokusoma shida sana! ungesoma ungepata kazi nzuri tu sasa angalia unavyotumia nguvu kutetea tonge! miaka hamsini utafika ila kwashida sana.
 
Hivi hata hao waingereza huwa hawakosei uandishi?

Maana wabongo ukiandika kiingereza basi usikosee uandishi utaambiwa hujui kiingereza.
Vitu km hivyo vinahitaji umakini mkubwa. Ukumbuke maelfu ya watu watasoma. Kingine hiyo ni taasisi na siyo shirika la mtu mmoja.
Ni sawa na ww ndiyo raisi wa Tz halafu unapost kwa broken english ni kero.
Walichokifanya ni ujinga wa kulazimisha mambo. Kiswahili si kipo wakitumie.
Tofautisha vitu vya kitaifa na vitu vya ndondo cup
 
Iyo Sio Broken..Ni Typing Error ..
Mbn Mnaachaga vitu vya Msingi mnakomalia Vitu ambavyo havijengi?

Unafikiri Kujua Kingereza kutatusaidia sisi Kushuriki WORLD CUP?

SHAME on you
 
But mtoa mada hajui maana broken english hii hutokea pale sentensi inapokua grammatically wrong but kwenye hiyo post ya TFF ni typing
error
 
Mkuu kwema??
Nimejaribu kuangalia hiyo mistake, nachoona kwenye kuweka E wao wameweka R,
Hii sio broken bali nadhani ni ukaribu wa hizi herufi mbili (E&R) kwenye Keyboard,
Pengine alitaka kuandika E akajikuta anabonyeza R bahati mbaya,
Nimewaza tu lakini, sina uhakika

Alafu ikajipost......teh teh
 
Back
Top Bottom