TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

Naaangalia mleta post kile alichoki high light sioni utata wake. nimeangalia tar.15/1/2020. Nikaangalia tar20/3/2020 halafu tar31March at09:25. hapo ndio najiuliza hicho kimekwamishaje TFF kutoa maamuzi?
 
naaangalia mleta post kile alichoki high light sioni utata wake. nimeangalia tar.15/1/2020
nikaangalia tar20/3/2020 halafu tar31March at09:25. hapo ndio najiuliza hicho kimekwamishaje TFF kutoa maamuzi?!!?
Yaani wamekwama hapo tu
 
Nadhani hapo wanatetea maslahi ya "mkubwa mmoja", mimi naamini kama mchezaji angekua ana makosa tayari inshu ingeisha toka jana, ila inaonekana kuna timu imevurunda sasa wanataka kufanya kulindana
SI KWELI, WAKO WALIOMSAJILI NA KUMTANGULIZA KWA MAKUSUDI HALI WAKIJUA ANA MGOGORO WA KIMKATABA NA KLABU YAKE. Hii ni dharau iliyopitiliza kwa TFF, na hili ndilo linalosumbua. Ni ujinga kweli. Ni heri ishu ipelekwe CAS tu.
 
Rais wa TFF ni msomali,hapo mnategemea haki kweli?Hapa Yanga wanatakiwa wapigane kidete.
Kama kuna vielelezo vilivyo dhahiri, kuna haja gani ya kupigana kidete? Halafu muwe na ufahamu wa muundo wa TFF, Rais wa TFF sio mwenyekiti wa kamati inayosikiliza hilo shauri, yupo jamaa vyura mwenzenu ambaye ameshindwa kabisa kumudu kikao
 
Tafuta mkalimani,maana usiishie kusoma namba tu
naaangalia mleta post kile alichoki high light sioni utata wake. nimeangalia tar.15/1/2020
nikaangalia tar20/3/2020 halafu tar31March at09:25. hapo ndio najiuliza hicho kimekwamishaje TFF kutoa maamuzi?!!?
 
SI KWELI, WAKO WALIOMSAJILI NA KUMTANGULIZA KWA MAKUSUDI HALI WAKIJUA ANA MGOGORO WA KIMKATABA NA KLABU YAKE. Hii ni dharau iliyopitiliza kwa TFF, na hili ndilo linalosumbua. Ni ujinga kweli. Ni heri ishu ipelekwe CAS tu.
Huko kuna mtu ataenda kushushwa daraja
 
Huko kuna mtu ataenda kushushwa daraja
Na ndicho kinachotafutiwa kukikwepesha. Tanzania haiwezi kamwe kupiga hatua katika soka, labda tuazimie kuleta mazee mastaafu yaliyoongoza EPL, LEAGUE ONE nk yatuongozee idara zote za TFF. Haya hawazijui Yangavwala Simba zaidi ya kanuni za siku tu
 
Kwa kitendo kinachoendelea ni dhairi kua Kamati inataka kuokoa upande mmoja, Eti baadhi ya document hamna wakata sakata ni la mkataba Yanga si wapeleke mkataba waliomsainisha Morison.

Maana issue ni Morrison anamkataba na Yanga au hana. Au kesi nyingine zaidi ya hii ambayo sisi hatuijui
Wameghushi mkataba hao. Ndio mana wanawapa TFF ukakasi mkubwa

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Rais wa TFF ni msomali,hapo mnategemea haki kweli?Hapa Yanga wanatakiwa wapigane kidete.
Yule Karia ni simba lialia na ni miongoni mwa watu wanaopenda kuchafua soka la bongo kwa mipango mipango. Tunasubiri tu TFF iseme Morison mali ya nani?

Na kama Yanga wamefoji mkataba hiyo ni criminal case na kama simba wamesaini mchezaji wa Yanga adhabu yao inajulikana. Janja janja tena hapana
 
Nadhani hapo wanatetea maslahi ya "mkubwa mmoja", mimi naamini kama mchezaji angekua ana makosa tayari inshu ingeisha toka jana, ila inaonekana kuna timu imevurunda sasa wanataka kufanya kulindana
Hakuna kulindana hapo it is the matter of time. Majamaa yamezoea kughushi mikataba ya wachezaji wanyonge. ADHABU HAIKWEPEKI HAPO

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
SI KWELI, WAKO WALIOMSAJILI NA KUMTANGULIZA KWA MAKUSUDI HALI WAKIJUA ANA MGOGORO WA KIMKATABA NA KLABU YAKE. Hii ni dharau iliyopitiliza kwa TFF, na hili ndilo linalosumbua. Ni ujinga kweli. Ni heri ishu ipelekwe CAS tu.
Kwan umefatilia update wewe. Issue imegoma kwa kuwa Yanga bado hawajapeleka document flan UNAIJUA NI DOCUMENT IP? Just wait UTAONA KITAKACHOJIRI. Mmezoea kughushi nyie. This time MTAJUTA

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Iache akili yako ipambqnue mambo. Acha kukariri vimisemo vinavyojenga ujinga ktk vichwa vya wengi. UKIULIZWA KWA MINI AKINA LIPULI NA MBEYA CITY HAWAPIGI HATUA NA KUWAACHA SIMBA NA YANGA UTATOA POROJO TUUU

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Kweli wewe ni pumbu kama umeona mimi nimetoa maoni vibaya kuna sababu gani wewe kuniquote?
Naimani wewe utakuwa punga sio bure.
 
Yule Karia ni simba lialia na ni miongoni mwa watu wanaopenda kuchafua soka la bongo kwa mipango mipango
Tunasubiri tu tff iseme Morison mali ya nani? na kama Yanga wamefoji mkataba hiyo ni criminal case na kama simba wamesaini mchezaji wa Yanga adhabu yao inajulikana. Janja janja tena hapana
Karia anahusika vipi wakati hata kwenye kikao hayupo, Mwanjala ndo kwenye kikao hicho ambaye ni Utopolo lia lia
 
Back
Top Bottom