TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

Yaani wamekwama hapo tu
kwanini wakwame sababu ya hizo tarehe mbona ziko sawa tu?!?. tar15jan aliingia mkataba wa mpaka 17/07/2020, tar20/3/2020 waliingia makubaliano ya kuextend mkataba baada ya kocha kumkubali, tar31March walimnotify kuhusu hiyo contract. mimi sioni tatizo hapo
 
nimeliona tatizo sasa, kweli lipo tatizo lakini lipo wazi mno hamna namna ya kupindisha labda kuna maelewano ya chinichini yanafanyika kati ya klabu hizi ndio maana maamuzi hayatoki sio TFF kwani liko wazi sana, kwani wao hawaiogopi FIFA?
 
Sasa kama mkataba unasema utaisha tarehe 14.7.2020 morrison anakosa gani? si mkataba ulisha isha? utata hapa ni kwamba yanga wao wanasema wanamkataba nae wa miaka miwili wakati yeye ameukana
 
Karia anahusika vipi wakati hata kwenye kikao hayupo, Mwanjala ndo kwenye kikao hicho ambaye ni Utopolo lia lia
Msikilize vizuri Hanspope ndo utajua kuwa simba wanalazimisha. we subiri kesho kama kamati haitavunjika utaniamba
 
Yanga walitangaza kumuongezea mkataba Morison na Tshishimbi na kupeleka mikataba tff na fifa.
Tshishimbi ameondoka yanga baada ya kushindana mkataba sasa mkataba waliosema mwanzoni wamesainishiana uko wapi.
Lakini wanasema walipomsainisha Morison walisajili tff na FIFA lakini wote tunajua ni lini madirisha ya usajili yanafunguliwa na kufungwa sasa yanga waliwezaje kusajili kipindi hicho
Kama waliwasilisha mkataba mpya tff kwanini tff wasitumie huo mkataba wa kwanza na wapili kutoa maamuzi
 
Msikilize vizuri Hanspope ndo utajua kuwa simba wanalazimisha. we subiri kesho kama kamati haitavunjika utaniamba
QUOTE]mboma mbona unasema kesho kwani wameahirisha tena ?
 
kwanini wakwame sababu ya hizo tarehe mbona ziko sawa tu?!?. tar15jan aliingia mkataba wa mpaka 17/07/2020, tar20/3/2020 waliingia makubaliano ya kuextend mkataba baada ya kocha kumkubali, tar31March walimnotify kuhusu hiyo contract. mimi sioni tatizo hapo
Tatizo lipo Yanga. Muingie mkataba January 15, March 20 mkakubaliana na kusaini kuendelea naye halafu March 31 unamnotify kuextend kitu ambacho March 20 mmeshamaliza. Yanga wawe wakweli kwa fans wao.
 
Back
Top Bottom