TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

Issue ya Morrison hao TFF wameigeuza fursa, kwanza wapige posho za vikao hapo bado wapo kwny payroll za GSM na MO.. hili issue itafika hadi wiki
Nadhani hapo wanatetea maslahi ya "mkubwa mmoja", mimi naamini kama mchezaji angekua ana makosa tayari inshu ingeisha toka jana, ila inaonekana kuna timu imevurunda sasa wanataka kufanya kulindana
 
ELIAS MWANJALA Mwenyekiti wa kamati ya sheria na Hadhi za wachezaji. Kiongozi wa zamani wa Yanga na Mwanachama wa Yanga.

Documents zote za mikataba ya wachezaji Copy zake zipo TFF kwanini leo Document moja isionekane.

Kama Yanga haina Document za mchezaji ambaye inasema ina mkataba nae kwanini waseme Marrison ni mali yao .
Kwani ule mfumo wa FIFA wakuingiza mkataba, hauonekani?
 
Yaani wanataka kutuambia kua hata wao mikataba haipo TFF?
TFF hizo Document hawana.

Yanga wanaosema wana mkataba na Morrison Document hizo hawana.

Morrison ambaye anasema hana mkataba na Yanga hizo Document ndio atakuwa nazo? kama Shirikisho la mpira halina Copy za mkataba wake Yeye ndio atakuwa nazo,Yanga wenyewe hizo Document hawana Morisson yeye atazitoa wapi.
 
Hizo tarehe vepe, ya kuonyesha nia ipo mbele ya ile ya kutekeleza nia! Maji yataitwa mma


1597162421648.png
 
TFF hizo Document hawana.
Yanga wanaosema wana mkataba na Morrison Document hizo hawana.
Morrison ambaye anasema hana mkataba na Yanga hizo Document ndio atakuwa nazo kama Shirikisho la mpira halina Copy zake mkataba wake Yeye ndio atakuwa nazo,Yanga wenyewe hizo Document hawana Morisson yeye atazitoa wai.
au kuna kikao kitafanyika usiku kusolve inshu kimya kimya
 
Back
Top Bottom