Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Bila kificho timu inayoongozwa kuchukiwa na kutafutwa na TFF hii ya sasa ni Yanga nakumbuka speech moja ya Rais alidiriki kusema Rais wa TFF ni Simba lia lia bila shaka jamaa anaenda kuprove kwamba yeye ni Simba lialia haswa na hapendezwi na Yanga kufanya vizuri hasa kile kichapo cha goli 5.

Baada ya TFF kuipangia Yanga ratiba ngumu na Yanga kuibuka na point tisa kibabe mbaya zaidi kuipiga timu ya baba kichapo cha mbwa mwizi Tff wamekuja na hili la kumfungia Aucho mechi 3 Mungu alivyomwema Yanga wanaenda kuibuka na pointi Tisa tena.

Tff wanaishi kwa kisasi sana na Yanga ukienda mbali zaidi Tff wanaogopa kivuli cha Eng Hersi wanataka kumwaribia ili Sifa zake nzuri zififie ila hawawezi wameshashindwa hakuna Mwanayanga hajui value ya Eng Hersi. Rais wa Tff yupo nyuma ya haya yote yanayoendelea hujma dhidi ya Yanga.

Wanayanga muwe Imara Tff wakishindwa la aucho watakuja na Plan F ili mradi kuipa unafuu Simba ila chini ya Gamondi yanga wataenda kukwepa mitego yote ya Tff.

Roma ikisema imesema
 
Aisee watu mnaongoza ligi lakini kila siku kulalamika, mashabiki wa Yanga sijui mpoje, hamridhiki na chochote, mara ratiba imebana,mara tumepewa mapunziko marefu,kuna kipindi mlilalamika viporo vya simba walipokuwa club bingwa,ila nye mlipokuwa shirikisho hamlalamiki kuwa na viporo.

Mnataka Malaika ashuke toka mbinguni awe Rais wa TFF?
 
Hawajiamini!! wanakiogopa kivuli chao wenyewe!! Kwani Aucho ndo nani!! Afungiwe asifungiwe hakuna tofauti yoyote!!
 
Aisee watu mnaongoza ligi lakini kila siku kulalamika, mashabiki wa Yanga sijui mpoje, hamridhiki na chochote, mara ratiba imebana,mara tumepewa mapunziko marefu,kuna kipindi mlilalamika viporo vya simba walipokuwa club bingwa,ila nye mlipokuwa shirikisho hamlalamiki kuwa na viporo.

Mnataka Malaika ashuke toka mbinguni awe Rais wa TFF?
Unafahamu kua mchezaji akihukumiwa na refa hawezi kuhukumiwa tena nje ya uwanja?
 
TFF ni wajinga na WAPUMBAVU Sana ..
Musonda alipigwa makonde mazito kwenye hiyo game lakini waliompiga wala hawajaguswa...
Aucho kachokozwa na ajibu lakini yeye ndo kafungiwa mechi tatu na bado alipewa Kadi ya njano!!!?

TFF nyie ni mik*ndu
 
Bila kificho timu inayoongozwa kuchukiwa na kutafutwa na TFF hii ya sasa ni Yanga nakumbuka speech moja ya Rais alidiriki kusema Rais wa TFF ni Simba lia lia bila shaka jamaa anaenda kuprove kwamba yeye ni Simba lialia haswa na hapendezwi na Yanga kufanya vizuri hasa kile kichapo cha goli 5.

Baada ya TFF kuipangia Yanga ratiba ngumu na Yanga kuibuka na point tisa kibabe mbaya zaidi kuipiga timu ya baba kichapo cha mbwa mwizi Tff wamekuja na hili la kumfungia Aucho mechi 3 Mungu alivyomwema Yanga wanaenda kuibuka na pointi Tisa tena.

Tff wanaishi kwa kisasi sana na Yanga ukienda mbali zaidi Tff wanaogopa kivuli cha Eng Hersi wanataka kumwaribia ili Sifa zake nzuri zififie ila hawawezi wameshashindwa hakuna Mwanayanga hajui value ya Eng Hersi. Rais wa Tff yupo nyuma ya haya yote yanayoendelea hujma dhidi ya Yanga.

Wanayanga muwe Imara Tff wakishindwa la aucho watakuja na Plan F ili mradi kuipa unafuu Simba ila chini ya Gamondi yanga wataenda kukwepa mitego yote ya Tff.

Roma ikisema imesema
Unaonekana una ushahidi mzuri sasa nenda mahakamani mkuu.

Upumbavu mtupu kulalamika kila kitu kama mtoto wa kambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom