TFF: Dhana dhanifu ama halisi?

Kama katamka hivyo kunakaribia kupambazuka maana
Hilo sio tamko binafsi
Sio tamko la kisiasa
Sio tamko la bahati mbaya
 
Bahati mbaya watakaoyapata maumivu halisi ya vita wengi ni wananchi wa kawaida wasio na pesa wasio na ulinzi wowote. Kwa hali hiyo waitakayo ndipo wabongo wataanza kulia wakikumbuka old days of peace.
Mungu tuepushie mbali hili janga.
Kwa yote haya ccm hawawezi kukosa kulaumiwa!! Ccm ndiyo walio tufikisha hapa tulipo!!

Na MACHAWA ndiyo wanaoongeza Petrol kwenye moto!!!
 
Hawana lolote hao Tff n content creator wa mtandaoni Sion maajabu yoyote kwao
Usiudharau Mwiba, Guu litaota tende.

Siipendi CCM KABISA, ila siungi mkono aslan matumizi ya silaha ili kuiondoa madarakani.
Njia hiyo ina màdhara makubwa mno na maumivu ya muda mrefu kwa wananchi wa kawaida.
Mifano ya nchi zilizotumia njia hiiyo na madhara yake ni nyingi. TUSIDHUBUTU KULAMBA SUMU..!!

Njia tunayotumia kwa sasa ni sahihhji japo itachukua muda.
Tuendelee kupambana, tusikate tamaa.
 
Kama katamka hivyo kunakaribia kupambazuka maana
Hilo sio tamko binafsi
Sio tamko la kisiasa
Sio tamko la bahati mbaya
BIG BROTHER ALEX hii habari ni ya kweli? Kama ni ya kweli hamuoni kuwa huyo Mkunda anataka kutuliza wananchi ili kuzima hasira za mauaji ya 29/10? Kwa nini wasitake wale wote ambao walitekwa kabla ya uchaguzi warudishwe mara moja na waliowateka wawajibishwe? Mimi huwa siamini kabisa matamko ya CCM and co... Mshana Jr hata hili la kuanzisha kikundi linaweza kuwa ni mpango wa CCM kuwafanya wananchi watulize hasira zao. Wajuzi wa mambo husema ''wasiwasi ni akili''.
 
Kuna nchi nyingi tu madiktekta waliondolewa kwa njia ya silaha na baadae zikakaa vizuri. Sasa hivi CCM imeshafikia hatua ambayo iko tayari kuua hata watanzania wote ili tu ibaki. Kilichotokea tarehe 29/10 na haya wanayofanya sasa hivi kufikia hatua ya waziri kutukejeli na magari ya kifahari kuliko hata waziri wa nchi zinazotupa misaada kinaonyesha kabisa hawaogopi tena yeyote na wamejindaa kwa kila namna.
 
Nimekupata vema ila kwa Bali ilivyo katika uhalisia wake kuna mkanyanyiko mkubwa kila mahali na ccm imebaki jina tuu
 
Mbinu zozote zitatumika kuikabili Sisiemu na uchafu wake. Tupo tunaangalia na kushiriki ipasavyo kwenye Mapambano dhidi ya Sisiemu na uchafu wake.
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…