Asante sana mkuu.. Nauzingatia na kuuchukulia ushauri wako kwa uzito wakeNi sahihi kabisa, mara zote huwa mwangalifu kuwa neutral, however nashauri kidogo uongeze umakini kuleta Hoja kama hizi kabla hazijawa public agenda, delay kidogo, nakuwa mwoga tu, sio vingine!
jamaa ni mchawi hatari.Mshana, huwa najiuliza hii haiba ya wewe kuelezea vitu hivi bila woga na identify yako inajulikana, huwa hauna wasiwasi? Ni mambo very complex haya, Mimi hata kuyasikia sometimes nayakwwpa
Unamzungumzia huyu?Ila yule jamaa ana moyo sana naona haogopi
Naam huyo huyoUnamzungumzia huyu?
17K views · 2.4K reactions | #NOJISTICENOPEACE🇹🇿 | Ruge Rugemalira
#NOJISTICENOPEACE🇹🇿www.facebook.com
Huenda Kenya au TarimeSidhani kama yuko bongo huyu
ZO HAPO BRO MANA UMETOA INSTAGRAM, SASA JF NA INSTA WAPI PANA USHAWISH MKUBWA? INSHORT NACHO SHAURI HAYA MAMBO YASIPUUZIWE KABISA OKTOBA 29 HAIKUDHANIWA KUFIKA HAPO, NINESIKIA MKUNDA ANADAI JESHI LITAINGILIA KATI BADO NA MASWALI YASIYO NA MAJIBU, MUDA UTAONGEA KUNA MEMBER HUM HUS MA, TANZANIA HAITARUDI KAMA ZAMANI, ISHA HARIBIKANimeleta kama hoja jadilifu kutokana na yale yanayoendelea mitandaoni. Nmekuwa mwangalifu mno wa kuchagua maneno ya kuandika illi kuepuka kufikiriwa vinginevyo
Ni aina ya mada ambayo inaweza kuamsha mjadala wenye tija utakaolisaidiq taifa kutoingizwa kwenye machafuko
KAKA WATU WAMEPOTEZA NDUGU, TUSICHUKULIE POA, HATA HAWA MACHAWA, NASHAURI WASIKILIZIE KWANZA KWA SASA, MANA TUENDAKO HAPAELEWEKI, HAWANA ULINZI WAKUMBUKE, NI KHERI KUJINYAMAZIAIla yule jamaa ana moyo sana naona haogopi
Vita vya urusi au vita vya panzi? Kama unataka kujiunga na upepo naweza kukuelewa ila kama ni tff inayosemwa mtafute jamali malinzi akuunganishe!!Mwenye kufahamu namna ya kujiunga na Hilo kundi anielekeze.Maana nimepigana vita urusi dhidi ya Ukraine na Bado Nina mzuka wa vita ya ukombozi.
Mtafute Walesi karia atakusaidia kujiunga!!Nataka na Mimi nijiunge
Unajua ''uwanja wa vita'' utasababishwa na nani? 1. Ndugu yako anatekwa bila sababu na ukilalamika na wewe unauawa 2. Ndugu zako wakitaka kumuondoa aliyekuteka kwa kura na amani nao wanauawa. 3. Wanaobaki wakilalamika na wenyewe wanauawa.sipendi yanayotendeka nchi hii, ila zaidi sitaki kuona hili taifa linakua uwanja wa vita, maana athali hazitawapata hao mafisadi bali sisi wananchi wa kima cha chini, wakati huo wao watakua wameshakimbilia oman,
Djs tunaomba utusindikize na ule wimbo uliyoimbwa na wamakonde wawili,
"bora ugali dagaa kwenye amani,kuliko wali nyama vitani".