Text ilitaka kuniua

Text ilitaka kuniua

kuna watu wana uwezo mdg sana hadi unajiuliza ni binadamu ama yaani ujumbe mistari mi 5 eti hawajaelewa na wanaomba ufafanuzi.z.

ujumbe wenyewe uko kwa kiswahili hahaahaha
Hamna kawaida tu mkuu.
 
Aliniambia hayupo tayari kubanjuana mpaka nimuowe na kwamba yupo sealed. (Nikasema sawa ila kimoyo moyo nikasema tutajua mbele ya safari tu)

Siku chache baadae akakosea sms ikaja kwangu alikuwa anamtumia jamaa yake.

"Mi sikubali tuoane bila kujuana performance yako je kama mbovu?!"
"Huo ndio msimamo wangu Steve kama huwezi ku do basi"

Nilipaniki 200% na kufreez juu nikajisemea huyu ngoja nilale kwanza.
Badae akastuka eti akaniuliza bebi kuna sms mdago wangu kaikosea imekuja kwako...nikamwambia sms gani mbona mi sijaona sms yeyote zaidi ya g9t. (Nikaifuta ile alokosea halafu nika screen shot nikamtumia kwa wasap akaamini sijaona)

Kilichofuata ni mipango ya kumsogeza ili nimkamue.
Siku alisema nakuja kukuona bebi ila plz hatutafanya ili tulinde ahadi yetu...nikamwambia njoo tu mamy.
Nikaenda kwa anko akanipa kintopyo nikatafuna kabisa kama viwili hivi.

Alivokuja nilimpikia akala akashiba nikaweka movie ya Spartacus mbona aliomba mchezo mwenyewe....
Nilikuta hakuna cha bikra wala nini ila nilipiga show mpaka akasema duuuh una miaka mingapi hujakutana na mbunye.

Nikawa nakula mzigo tu mpaka miezi 8 hasira zilipoisha nikamwambia our relationship is no longer working...akalia hapo kama kawaida yao aah...mi nikampotezea.

Saivi yupo available mda wowote nikitaka kupasha kiporo mimi tu. Kintompyo sisahaugi kutafuna ili nisiharibu rekodi kila nikimhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Kintompyo" ndo nini mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo msg hakukosea kukutumia, aliamua kukutumia makusudi baada ya kukuona humuombi tunda kwa lazima.
Siunajua baadhi ya mademu wanasema sitaki mdomoni lakini kwa vitendo anakuonyesha anataka so wewe ulishindwa kumsoma ikabidi atumie njia za kijasusi kukustua kutoka usingizini
Kumbe...sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua sielewi mtu anakoseaje kutuma mesej asee. Mimi nilichanganya sauti dadek zangu baada ya kupigiwa na namba ngeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom