MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,356
- 3,620
Huwa nataman niwaeleweshe watu kuhusu hili,halaf nyuzi kibao hapa jf za kujifarij kuwa ukioa bikra et haugongewi huwa nacheka sanaa

....unaweza ukaoa bikra na bado ukagongewa na unaweza oa sio bikra akabak muaminifu
Bro wangu aliacha kuoa demu aliyembikiri mwenyewe na kuoa demu wa kawaida nikamuuliza bro why??...akaniambia huyo bikra ukimuoa ipo ck atataka kuonja eti dushe zingne za nje zina ladha gan tofaut na ya kwako na hapo ndo utaanza kugongewa but ni mtazamo wake,all in all kuogongewa ama kutongongewa hakuna ufund
Sent using Jamii Forums mobile app


....unaweza ukaoa bikra na bado ukagongewa na unaweza oa sio bikra akabak muaminifuBro wangu aliacha kuoa demu aliyembikiri mwenyewe na kuoa demu wa kawaida nikamuuliza bro why??...akaniambia huyo bikra ukimuoa ipo ck atataka kuonja eti dushe zingne za nje zina ladha gan tofaut na ya kwako na hapo ndo utaanza kugongewa but ni mtazamo wake,all in all kuogongewa ama kutongongewa hakuna ufund
Fikra potofu, nshawai toa bikra na kua nae kwenye mahusiano serious had mzaz wangu akawa anamfahamu kumbe kuna wenzangu wa3 wanakula mzigo inshort hawa viumbe hata uishi nao kiakili haisaidii we jua tu sio chako peke ako zamu yako ikifika piga mech kama hamna kesho basi.
Sent using Jamii Forums mobile app