Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,748
- 91,814
Babe wewe hujawahi kosea kutuma ?
yaa uko sawa juma bhalo aliimba nikumbushe mema niwe furahan wewe unajikumbusha pendo lililokuumiza ya niniPole
Kama inakuumiza jaribu kuisahau
Binafsi sionagi umuhimu wa kuhifadhi kumbukumbu za maumivu
Unafaaa kuwa mwalimu, nlitoka patupu hapa ndo nmeelewaMtoa mada akiwa safarini, msg ya mahabuba wake, kipenzi chake, mkewe mtarajiwa inaingia, Na huyo mahabuba inaonekana hiyo text alikuwa anamtumia mwanaume mwingine kuwa 'anaenda ghetto, ila asimlazimishe kufanyaje fanyaje sijui' unluckily ujumbe ukamuendea mtoa mada.!
Mtoa mada, akataka kujitoa uhai ila akakaza kiume ndiyo mpaka Leo tupo naye hapa anatusimulia mkasa wake.!
Khantwe & toughlendon_1
Haha,Daaah! Rolling eyes![]()
Haha, mwalimu nitakuwa mkali sana!
Mtaani naonekana kama mama mtumishi, sound labda za Biblia!Unavyojua kuelezea sasa, kama wale Penguins wa Madagascar. Wewe inaonekana mtu wa sound sana mtaani 🤣
Soma vizuri uelewe mada mkuu. Acha kukimbilia kukosoa nawakati mada yenyewe hujaisoma nakuielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa vzr tu mwenye mada kanielewa yeye mm nilichosema.
😆😆😆 mwenye mada kanielewa mbona ni simpe kwani mmeelewaje nyie eti.'Muwe mnaelewa maswali kabla hamjaanza kujibu tafadhali', (msimamizi kwenye chumba cha mtihani..!)
Sijawahi aisee hivi siku ukinikamata utanifanyia kama huyo?Babe wewe hujawahi kosea kutuma ?
'Muwe mnaelewa maswali kabla hamjaanza kujibu tafadhali', (msimamizi kwenye chumba cha mtihani..!)

siku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa...
nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo yako yakulamba koni hua napata kichefu chefu"
moyo ulipigwa shot ghafla nikiwa siamini macho yangu... nikamtext akawa na kigugumizi chakujibu, dah! niliumia sana na nikajiona sina thamani kabisa duniani...
nilitamani kujitoa uhai bt nilipga moyo konde then nikamwambia safari yetu ndo mwisho huo bt kamwe sintoisahau kitu hii
je wewe txt ipi ilokosewa na mwenza ilikutesa sana???
Hahah na kwann ukamatwe ?wakati sio vema kumfanyia mwenzio hayo
Shit happens you knowHahah na kwann ukamatwe ?wakati sio vema kumfanyia mwenzio hayo
In fact it is the most shameful act !!!.

Samahani mkuu hiyo kintopyo ni nini, I wanna learn sina matumizi nayo hata.!!Aliniambia hayupo tayari kubanjuana mpaka nimuowe na kwamba yupo sealed. (Nikasema sawa ila kimoyo moyo nikasema tutajua mbele ya safari tu)
Siku chache baadae akakosea sms ikaja kwangu alikuwa anamtumia jamaa yake.
"Mi sikubali tuoane bila kujuana performance yako je kama mbovu?!"
"Huo ndio msimamo wangu Steve kama huwezi ku do basi"
Nilipaniki 200% na kufreez juu nikajisemea huyu ngoja nilale kwanza.
Badae akastuka eti akaniuliza bebi kuna sms mdago wangu kaikosea imekuja kwako...nikamwambia sms gani mbona mi sijaona sms yeyote zaidi ya g9t. (Nikaifuta ile alokosea halafu nika screen shot nikamtumia kwa wasap akaamini sijaona)
Kilichofuata ni mipango ya kumsogeza ili nimkamue.
Siku alisema nakuja kukuona bebi ila plz hatutafanya ili tulinde ahadi yetu...nikamwambia njoo tu mamy.
Nikaenda kwa anko akanipa kintopyo nikatafuna kabisa kama viwili hivi.
Alivokuja nilimpikia akala akashiba nikaweka movie ya Spartacus mbona aliomba mchezo mwenyewe....
Nilikuta hakuna cha bikra wala nini ila nilipiga show mpaka akasema duuuh una miaka mingapi hujakutana na mbunye.
Nikawa nakula mzigo tu mpaka miezi 8 hasira zilipoisha nikamwambia our relationship is no longer working...akalia hapo kama kawaida yao aah...mi nikampotezea.
Saivi yupo available mda wowote nikitaka kupasha kiporo mimi tu. Kintompyo sisahaugi kutafuna ili nisiharibu rekodi kila nikimhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo msg hakukosea kukutumia, aliamua kukutumia makusudi baada ya kukuona humuombi tunda kwa lazima.Aliniambia hayupo tayari kubanjuana mpaka nimuowe na kwamba yupo sealed. (Nikasema sawa ila kimoyo moyo nikasema tutajua mbele ya safari tu)