toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,911
- 12,370
Tupo wawili ukielewa nitag
Sent from my iPhone using JamiiForums
U r grown chapPole
Kama inakuumiza jaribu kuisahau
Binafsi sionagi umuhimu wa kuhifadhi kumbukumbu za maumivu
'Muwe mnaelewa maswali kabla hamjaanza kujibu tafadhali', (msimamizi kwenye chumba cha mtihani..!)mambo yenu yakuzungu hayo mnayoyapenda unamlazimisha mwenzako kufanya kitu asichotaka alafu saiz unafeel guilt!
Mtoa mada akiwa safarini, msg ya mahabuba wake, kipenzi chake, mkewe mtarajiwa inaingia, Na huyo mahabuba inaonekana hiyo text alikuwa anamtumia mwanaume mwingine kuwa 'anaenda ghetto, ila asimlazimishe kufanyaje fanyaje sijui' unluckily ujumbe ukamuendea mtoa mada.!
Hahahhahahahahahahahhahahahamsalimie huyo mwenye pedo nyeupe, hapa ni baada ya kuwa namtoa mchepuko ghetto na manzi yangu ameniona.
sikuijibu ile msg ndo ikawa kuachana mazima
Have a cup of cappuccino my dear, and tell the waiter to rush that bill to me pls'Muwe mnaelewa maswali kabla hamjaanza kujibu tafadhali', (msimamizi kwenye chumba cha mtihani..!)
Ahsante sana bibieMtoa mada akiwa safarini, msg ya mahabuba wake, kipenzi chake, mkewe mtarajiwa inaingia, Na huyo mahabuba inaonekana hiyo text alikuwa anamtumia mwanaume mwingine kuwa 'anaenda ghetto, ila asimlazimishe kufanyaje fanyaje sijui' unluckily ujumbe ukamuendea mtoa mada.!
Mtoa mada, akataka kujitoa uhai ila akakaza kiume ndiyo mpaka Leo tupo naye hapa anatusimulia mkasa wake.!
Khantwe & toughlendon_1
Hata mimi sijaelewa na naona watu wanatiririka tu.
Soma vizuri hujamwelewa....mambo yenu yakuzungu hayo mnayoyapenda unamlazimisha mwenzako kufanya kitu asichotaka alafu saiz unafeel guilt!
Soma comments #25Hata mimi sijaelewa na naona watu wanatiririka tu.
Labda kwasababu msaada wa comments mbili tatu tutaelewa. Here We go
Nimeelewa ila mtoa mada hakuiweka vizuri. Nimeshangaa wachangiaji wameelewa vizuri kuliko alivyoiweka mleta mada mwenyewe lol.
mambo yenu yakuzungu hayo mnayoyapenda unamlazimisha mwenzako kufanya kitu asichotaka alafu saiz unafeel guilt!
that has already taken care of, Mr. Seal, (widha rolling eyes)..!😌Have a cup of cappuccino my dear, and tell the waiter to rush that bill to me pls
Daaah hujaelewa mkuu, soma tenamambo yenu yakuzungu hayo mnayoyapenda unamlazimisha mwenzako kufanya kitu asichotaka alafu saiz unafeel guilt!
dah, umefafanua vizur sn..Mtoa mada akiwa safarini, msg ya mahabuba wake, kipenzi chake, mkewe mtarajiwa inaingia, Na huyo mahabuba inaonekana hiyo text alikuwa anamtumia mwanaume mwingine kuwa 'anaenda ghetto, ila asimlazimishe kufanyaje fanyaje sijui' unluckily ujumbe ukamuendea mtoa mada.!
Mtoa mada, akataka kujitoa uhai ila akakaza kiume ndiyo mpaka Leo tupo naye hapa anatusimulia mkasa wake.!
Khantwe & toughlendon_1
that has already taken care of, Mr. Seal, (widha rolling eyes)..!![]()

Mtoa mada akiwa safarini, msg ya mahabuba wake, kipenzi chake, mkewe mtarajiwa inaingia, Na huyo mahabuba inaonekana hiyo text alikuwa anamtumia mwanaume mwingine kuwa 'anaenda ghetto, ila asimlazimishe kufanyaje fanyaje sijui' unluckily ujumbe ukamuendea mtoa mada.!
Mtoa mada, akataka kujitoa uhai ila akakaza kiume ndiyo mpaka Leo tupo naye hapa anatusimulia mkasa wake.!
Khantwe & toughlendon_1