shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,396
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.JA.9/259/01/A/234 27 Februari, 2023 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Usaili uliofanyika tarehe 03 – 08 Januari 2023, matokeo ya waombaji kazi waliofaulu Usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu Usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Unguja – Zanzibar (Mazizini) katika Jengo la Sheria Ghorofa ya 3. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu Usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa. NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa. NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI 1 KAMISHNA MKUU, MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) TAX MANAGEMENT OFFICER IINimeona pia majina ya watumishi wapya walioitwa tra, yani mkeka umechanikia macca au arabuni
Haya mambo ndo tunayakataa kwenye huu muungano wa kinyonyaji, bora katiba mpya ilete nchi moja na serikali moja ili pawepo na usawa.Wale ni Wazanzibari wametafutiwa kazi huku bara.
Basi tumieni huo mfumo kirsito unao ongoza dunia kujiteuwa mbona mnabwabwaja kama mambwa?Utafanya nini na Dunia inaendeshwa na Wakristo na Wakristo wa USA na UK ndiyo walileta serikali ya Muungano!
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:S/gang
Acha udiniRaia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Akiweka ni tag.Huu ujinga wa kulalamika huku favours wamepata wao wanaolalamika miaka nenda rudi.Waislamu walipolalamika walikejeliwa waende shule.Sasa balance imeanza waliopendelewa wanalalama wanadai ni haki yao.Mfano hai waliomba kazi TRA Unguja ulitegemea wawe wa dini gani?Wakati ratio ya dini inajulikana?Ungeweka hapa huo Mkeka wa Executives tuangalie dini zao.. Uzi utanoga zaidi
Thibitisha haya madai.Watzn acheni ulofa jadilini mambo ya msingiRaia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Haya sasa tuambie iwapo wangekuwa ni wa dini yako, ww na familia yako mngefaidika nn na kuajiliwa kwao?JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.JA.9/259/01/A/234 27 Februari, 2023 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Usaili uliofanyika tarehe 03 – 08 Januari 2023, matokeo ya waombaji kazi waliofaulu Usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu Usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Unguja – Zanzibar (Mazizini) katika Jengo la Sheria Ghorofa ya 3. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu Usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa. NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa. NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI 1 KAMISHNA MKUU, MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) TAX MANAGEMENT OFFICER II
1. MOH’D ALI MOH’D
2. AHMED SALEH ABUBAKAR
3. AMIN KHAMIS AHMADA
4. ABDULHAMID JUMA ABEID
5. AHMED RAMADHAN ALLY
6. TAUHIDA SHAABAN RAJAB
7. ISSA ABDALLA ALI
8. SAFIA ASAA RAJAB
9. MSELEM ALI OTHMAN
10.HAJRA KHAMIS SAID
11.OMAR MASOUD SHINDANO
12.WARDAT MOH’D HUSSEIN
13.RAJAB SALUM SAID
14.KHATIB KHAMIS ABDI
15.NAIMOUR JAFFAR SHEHE
16.IS-HAQ RAMADHAN KIPPAYA
17.MARYAM ALI HAJI
18.ARQAM SALUM MPWANI
19.ALI HASSAN HAMAD
TAX MANAGEMENT ASSISTANT II
1. KHEIR OMAR ALI
2. WAHIDA KHAMIS SULEIMAN
3. SEIF MOH’D ALI
4. SIHABA ALI KHAMIS
5. RUKAYYA BWANGA MFAMAU
6. SAFIA KHAMIS SULEIMAN CUSTOMS OFFICER II
1. SEIF ALI ABDALLA
2. AISHA JAMAL SAID
3. HUSSEIN BAKARI HAMADI
4. SABRA NASSOR ALI
5. ASHA MUHSIN HAMAD
6. MARIAM MUHAMMAD HASSAN
7. SULEIMAN JUMA HAJI
8. MAKAME USSI SHEHA
9. ABDULLA IBRAHIM ABDALLA NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI
10.FATMA MOHAMED ALLY
CUSTOMS ASSISTANT II
1. ABDULKARIM KHATIBU SANDUKU
2. NIHIFADH ABDULLA ALI
3. RUWAIDA ABDALLAH SALUM
ICT TECHNICIAN II
1. YUNUS SALIM ALI
2. BUSHIR MAKAME MGONGO
3. MOHAMED BAKAR RASHD
LIMETOLEWA NA; KATIBU, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTU
HAYA HAYA HAYAAAAAAAAA.
ASIYE NA MWANA AELEKEE JIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Hajasema waislamu lakini, yeye amesema udini.. Umekimbilia kwenye point haraka sanaAkiweka ni tag.Huu ujinga wa kulalamika huku favours wamepata wao wanaolalamika miaka nenda rudi.Waislamu walipolalamika walikejeliwa waende shule.Sasa balance imeanza waliopendelewa wanalalama wanadai ni haki yao.Mfano hai waliomba kazi TRA Unguja ulitegemea wawe wa dini gani?Wakati ratio ya dini inajulikana?
Toka lini hiyo ikawa kama ulivoandika!!?Hii kitu nimeikuta maeneo ya Msikiti mmoja maeneo ya Dampo,Mwanza inajadiliwa.Kumbe ata wavaa Kobazi wenzie hawakubaliani na Mama.
Mkeka wa 2020 hadi 2021 chini ya JPMNimeona pia majina ya watumishi wapya walioitwa tra, yani mkeka umechanikia macca au arabuni
Haya mbona yapo muda mrefu ila wenyewe ndio mliyalea lea.STUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.
Kipindi cha magu mawaziri waislam walikua wawili tu na pm wa 3 lakini atukuona waislamu wakilalamikaSTUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.
Bora nini kuliko nini eti!!?Bora S/gang kuliko Islamic state!
Basi nimekosea ilikuwa kanisani Mkuu.Kwani unafikiri Waislamu wote hawajielewi?Toka lini hiyo ikawa kama ulivoandika!!?
Yaani muislam amchukie muislam kisa kawachagua waislam wenzie!!?
Acha kufanya watu watoto.
Tuende na takwimu kwa kujiuliza maswali haya.Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Kama ni unguja hakuna la kustaajabu hapo. Nikajua watu wamepangiwa kuripoti kazini huku baraJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.JA.9/259/01/A/234 27 Februari, 2023 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Usaili uliofanyika tarehe 03 – 08 Januari 2023, matokeo ya waombaji kazi waliofaulu Usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu Usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Unguja – Zanzibar (Mazizini) katika Jengo la Sheria Ghorofa ya 3. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu Usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa. NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa. NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI 1 KAMISHNA MKUU, MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) TAX MANAGEMENT OFFICER II
1. MOH’D ALI MOH’D
2. AHMED SALEH ABUBAKAR
3. AMIN KHAMIS AHMADA
4. ABDULHAMID JUMA ABEID
5. AHMED RAMADHAN ALLY
6. TAUHIDA SHAABAN RAJAB
7. ISSA ABDALLA ALI
8. SAFIA ASAA RAJAB
9. MSELEM ALI OTHMAN
10.HAJRA KHAMIS SAID
11.OMAR MASOUD SHINDANO
12.WARDAT MOH’D HUSSEIN
13.RAJAB SALUM SAID
14.KHATIB KHAMIS ABDI
15.NAIMOUR JAFFAR SHEHE
16.IS-HAQ RAMADHAN KIPPAYA
17.MARYAM ALI HAJI
18.ARQAM SALUM MPWANI
19.ALI HASSAN HAMAD
TAX MANAGEMENT ASSISTANT II
1. KHEIR OMAR ALI
2. WAHIDA KHAMIS SULEIMAN
3. SEIF MOH’D ALI
4. SIHABA ALI KHAMIS
5. RUKAYYA BWANGA MFAMAU
6. SAFIA KHAMIS SULEIMAN CUSTOMS OFFICER II
1. SEIF ALI ABDALLA
2. AISHA JAMAL SAID
3. HUSSEIN BAKARI HAMADI
4. SABRA NASSOR ALI
5. ASHA MUHSIN HAMAD
6. MARIAM MUHAMMAD HASSAN
7. SULEIMAN JUMA HAJI
8. MAKAME USSI SHEHA
9. ABDULLA IBRAHIM ABDALLA NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI
10.FATMA MOHAMED ALLY
CUSTOMS ASSISTANT II
1. ABDULKARIM KHATIBU SANDUKU
2. NIHIFADH ABDULLA ALI
3. RUWAIDA ABDALLAH SALUM
ICT TECHNICIAN II
1. YUNUS SALIM ALI
2. BUSHIR MAKAME MGONGO
3. MOHAMED BAKAR RASHD
LIMETOLEWA NA; KATIBU, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTU
HAYA HAYA HAYAAAAAAAAA.
ASIYE NA MWANA AELEKEE JIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Sasa kama cha kufanya hamna mnalalamika nini?Utafanya nini na Dunia inaendeshwa na Wakristo na Wakristo wa USA na UK ndiyo walileta serikali ya Muungano!