Tetesi zikikoma huwa breaking news

Tetesi zikikoma huwa breaking news

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,880
Reaction score
828,443
Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!
1742350235728.jpg
 
Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
Kaka, tetesi hizo ni sahihi kabisa na ni wakati muafaka wa utekelezaji. Na kama Mzalendo akipigwa Chini Basi Wamfanyie na scanning ya mali zake zote yakiwemo yake ma'bus ule uwanja wa football na kila anachomiliki..Haiwezekani hawa watu wawe na nguvu kubwa hivyo ya kiuchumi mpaka wataka kuununua "ukuu".. By The Way akidondoshwa huyu na chama kinadondoka..
 
Ila tusiwaamini sana watu.. Huwezi jua nini wanakipanga maana wameingiwa na woga mkubwa kuhusu uchaguzi
 
Ila uki mtoa jk, sioni Kama kuna mwingine ali wahi kushika nafasi hiyo Kisha aka toka salama.

Vijana wa msoga wame mtwanga chap.
 
Khahahahaha,hii inaitwa kwake mwalimu Kashasha.

Wakae wakijua,hakuna tukio lolote litakalozina kauli mbiu ya CHADEMA.
Kiufupi Acha waraluane tu,maana ccm chama cha Wajinga waliojimirikisha utawala.
Uchaguzi utakuwa mchungu tem hii.

Wamerudisha mpira kwa kipa MITUNGI.
Wasiwe na bahati,ccm ikatoka madarakani,kila siku itakuwa Breaking News.
 
Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 14
Kaka, tetesi hizo ni sahihi kabisa na ni wakati muafaka wa utekelezaji. Na kama Mzalendo akipigwa Chini Basi Wamfanyie na scanning ya mali zake zote yakiwemo yake ma'bus ule uwanja wa football na kila anachomiliki..Haiwezekani hawa watu wawe na nguvu kubwa hivyo ya kiuchumi mpaka wataka kuununua "ukuu".. By The Way akidondoshwa huyu na chama kinadondoka..

Madilu System ni fisadi sana ,amejilimbikizia mali sana ,ile mahakama ya mafisadi ianze naye.
 
Khahahahaha,hii inaitwa kwake mwalimu Kashasha.

Wakae wakijua,hakuna tukio lolote litakalozina kauli mbiu ya CHADEMA.
Kiufupi Acha waraluane tu,maana ccm chama cha Wajinga waliojimirikisha utawala.
Uchaguzi utakuwa mchungu tem hii.

Wamerudisha mpira kwa kipa MITUNGI.
Wasiwe na bahati,ccm ikatoka madarakani,kila siku itakuwa Breaking News.
Nyumbu hili naloo, kwahiyo watu wasiendelee na mishe zao kisa Kuna mapunguani huko wananyinyita nyinyita. Kauli mbinu gn ya kuhangaisha watu, watu wametulia wanawaona hamnazo tu. Wanasubiri mwezi oktoba wacheke.
 
Pesa za kufuru tena za "kukwapua" zimempa 'jamaa' kibri na jeuri za kujiona sasa anastahili kuwa "Boss wa Tz"
 
Kaka, tetesi hizo ni sahihi kabisa na ni wakati muafaka wa utekelezaji. Na kama Mzalendo akipigwa Chini Basi Wamfanyie na scanning ya mali zake zote yakiwemo yake ma'bus ule uwanja wa football na kila anachomiliki..Haiwezekani hawa watu wawe na nguvu kubwa hivyo ya kiuchumi mpaka wataka kuununua "ukuu".. By The Way akidondoshwa huyu na chama kinadondoka..
Inasemekana aliwekeza nguvu nyingi kwenye kuweka saini kwenye noti
 
Nyumbu hili naloo, kwahiyo watu wasiendelee na mishe zao kisa Kuna mapunguani huko wananyinyita nyinyita. Kauli mbinu gn ya kuhangaisha watu, watu wametulia wanawaona hamnazo tu. Wanasubiri mwezi oktoba wacheke.
We ndo kiazi cha Gairo.
Majinga yote mmejazana ccm mbwa nyie.
Na hata mkuu akijamba,mnakenua na kushangilia eti ni Pafyumu makubwa jinga nyie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom