Tetesi zikikoma huwa breaking news

Tetesi zikikoma huwa breaking news

Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
Mkuu unaelewa maana ya kubeba mabakuli mawili, kubwa na dogo kuelekea kinyenyekevu kwenye dirisha la kuomba?
 
Baada ya Samia. huyu ndiye atafaa kuwa kiongozi wa nchi, ni mzalendo wa kweli
 
Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
Sasa noti zetu itakuwaje? Nasikia jamaa limesinya(in Hutu's voice)
 
Hakuna kati yao atakaeupata.

Simba mwenda pole ndio mlq nyama.Kijana Riz mtashangaa atakapoibukia

Kwa sasa mzee wake kamwambia hutakiwi kuwa na skendo yoyote. Keep low profile until then ……

2030 this is the next President save hii comment .
Wakatoliki 2030 watakubali ??!
Ngoja tuone Locuta Causa Finita ya Bongo kama itafua dafu kwa CCT !
 
H
Katiba haisemi Hivyo. Kama mnadhan JK anapambana Samia abaki hadi 2030 kwa bure bure tu subirini muone.

Katoliki hawana ishu kwa sasa
Hiyo hata mimi nilishaistukia hasa baada ya kuona Riz ameanza kukeep low profile nikajua hii ni mbinu ya Jk !
 
Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!
Mkuu Mshana, sidhani hili linawezekana. Huyu mtu anajua mengi sana kuhusu mkuu wake, hivyo mkuu wake sio rahisi kuwa na ujasiri huo wa kumtupa chini, kwa sababu lilisha kuwa suala la kwa kuwa umeona yangu na wewe nionyeshe yako ili usiwaambie watu uliiona yangu!
 
Mkuu kamba hukatikia pembamba...wakati ukitimia hata shoka moja tu linaangusha mbuyu
 
Katiba haisemi Hivyo. Kama mnadhan JK anapambana Samia abaki hadi 2030 kwa bure bure tu subirini muone.

Katoliki hawana ishu kwa sasa
Hujiulizi kwa nini Nchimbi ni mgombea Mwenza? Amka usingizini,
 
Hakuna kati yao atakaeupata.

Simba mwenda pole ndio mlq nyama.Kijana Riz mtashangaa atakapoibukia

Kwa sasa mzee wake kamwambia hutakiwi kuwa na skendo yoyote. Keep low profile until then ……

2030 this is the next President save hii comment .

Kwa Mzee wa Msoga hakishindikani kitu ,maana kwa ngazi ya Urais mstaafu yeye bado ana nguvu maana mama kizimkazi hana say kwa Jarcarhire.
 
Wakatoliki sahivi hawana nguvu katika nchi hii, tumewaendekeza sana imetosha tumemtoa Mpango wakatulia tukamtia ndani Dr. Mihogo mpaka tulipoona inatosha tukamwachia, hakuna utaratibu wa kuachiana kushika nchi baada ya mama 2030 anatakiwa awe Riz 1 nadhani baba yake aliliongoza vizuri taifa naamini na mtoto atafanya hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom