Tetesi za mwisho wa dunia zimeishia wapi?

Tetesi za mwisho wa dunia zimeishia wapi?

Tukio la Uganda miaka fulani mwenye kumbu kumbu utakumbuka kanisa fulani watu waliangamia wengi Sana
 
Inaonekana bando litakuishia sio mda nione mkuu, uzi hujaulelewa? Iyo ni style ya uwandishi tu sio kama sijui kiswahili
Bado rekebisha lugha usichapie kama cha darasa la tatu,inapaswa uandike MUDA na sio MDA na mwisho ni HIYO ni style sio IYO ni style.
 
labda walikuwa wanatafuta umaarufu ila wanajua wenyewe..ila aliesema kufa kwako ni kiama ni uongo coz hata sayans inasema kuwa kuna kipindi dunia haitokalika kwa sababu ya jua,maji kuongezeka na kupungua kwa kani ya mvutano.
 
Anayejua ni Baba pekee, hata maraika hawajui.
Mwaka 2000 kama sikosei walisema ndio mwisho wa dunia, wakasema na makompyuta yataparanganyika lakini ndio kwanza technolojia imekuwa.
Nimeamini hapa duniani unachosikia kinapewa airtime sio halisi-kilichopo akilini mwako ndio halisi.
 
Julius Hussein,rekebisha kwanza kiswahili chako maana umeandika Kizaramo.Sio "miaka flani"bali ni miaka fulani,pia Sio "matetesi"bali ni tetesi na mwisho sio "ivi awa watu"bali ni hivi hawa watu.
Kuna watu wa ajabu kabisa.
Yaani mtu unarekebishwa kwa nia njema kabisa bado unabisha kwa hoja za kijinga kabisa,eti style ya "uwandishi"!!.
Kama unashindwa kuelewa vitu vidogo tu kama hivi kweli akili yako inatosha kuchambua mambo tata ikiwemo hilo ulilolianzishia mada?.
Inaonekana bando litakuishia sio mda nione mkuu, uzi hujaulelewa? Iyo ni style ya uwandishi tu sio kama sijui kiswahili
 
Mwisho wa dunia ni saa yako yako kufa
65290ea56984c60c0f8fb76a9a9b1e13.jpg
wewe Dada unafanana na huyu mke wanguu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom