Tetesi: Shughuli zote kusimama Mtwara leo kushinikiza Murji aachiwe

Chris!, mbona huna utalivu wa akili!..inaonyesha wewe unashabikia kupigwa na kuteswa wananchi wa Mtwara kwa kosa la kuhoji juu ya hatima ya rasilimali zao?. Waonee huruma watanzania wenzako, hii serikali unayoishabikia inatarajiwa ku ekspaya hivi karibuni lakini wa wananchi wa mtwara waataendelea kuwepo juu ya ardhi yenye hizo rasilimali.
Chris!...nilipo kufahamu mwanzo ulifanana na kijana msomi na mzalendo anayependa mabadiliko chanya kwa nchi yake, nakumbuka ulikuwa ukivaa magwanda ya khaki na hata michango yako ilikuwa chanya kama msomi.
Chris!....toka umejiunga na chama chako hiki kipya, umekuwa kama vile umeondolewa ubongo na kubaki na fuvu tupu!......inasikitisha sana. Hivi kwani ukiwa katika chama chako hicho kipya, ni lazima ufanane na mwigulu?

mkuu hakuna raslimali ya mtwara,popote pale zilipo raslimali za nchi hii ni za watanzani hakuna kuwaonea huruma wahuni,watu wanachoma mpaka nyumba na kuvunja madaraja halafu unasema wahurumiwe kwa kipi.
 
Endelea na maitusi tu shosti wewe...tatizo lenu nyie wa dar..sijui mwanza mnajiona mna uelewa wa kutosha kumbe ma...vi matupu you Bastard!!

naomba nitue mi siyo shost wako,katika mambo ya kitaifa hasa yanayogusa usalama wa nchi hakuna mtu wa kuhurumiwa watu mnapewa vihela vya ajabu kabisa halafu mnafanya fujo mpaka mnachoma madaraja halafu nani awahurumie kwangu mimi wale wote wanaofanya fujo hata wakifa wote fine,mbona mwanza hatujazui samaki na maji ya ziwa victoria kwani si wajinga,mbeya hajasema wanazuia viazi vyao kwani wao wajinga?.hiyo gesi kwani mmeilima nyie simeikuta ipo majini halafu ndo mtuletee mambo yenu ya ajabu.
 
kama hauna la kuongea piga kimya usubr sirikali ya ccm ikuletee maendeleo huko mwanza..
 
Wakati mwingine heshima lazima iwepo, hata mtoto haachwi hivi. Mtwara mnachokifanya mnajiumiza wenyewe mkoa wenyewe maskin kama afu et mnasimamisha shughuli za maendeleo.

bora umeelewa kuwa Mtwara ni mkoa masikini....pia uwe mwepesi wa kuelewa kuwa wanachokifanya hivi sasa ni kuishinikiza serikali ifanye uwekezaji wa kutosha huku ili Mtwara nayo iendelee. Au ww hulioni hili mbumbumbu wewe!!
 
Huko mtwara inabidi vijana wa FFU Ukonga AKA Ghasia kuu waende kupiga kambi kama mwezi tu na nina uhakika hatutasikia tena akina njomba wanchema tuchimumunye wala tuchiteme

Chriss ndugu yangu, watu wa Mtwara hawatishwi na FFU, nguvu ya umma hata siku moja haishindwi na polisi. Acha waendeshe mambo yao, nchi hii hata baada ya miaka hamsini ya uhuru serikali imeshindwa kuunganisha barabara ya Dar to Lindi halafu mnasema rasilimali ni za wote, wote na nani? Mbona hazijatumika hata kukamilisha barabara kule kusini?
 
Murji anapesa and kawashika wamakonde, hata uchaguzi wa 2010 kaingia madarakani kwa kumpiga chini uledi kwa zengwe. uledi akashitaki and wanamtwara wakamchangia pesa uledi but wapi , murji kaongea deal na uledi la maneno tu jamaa kamaliza mchezo. so sishangai kama wanamtwara wataacha maisha yao kwa ajili ya murji. he is so smart waulize watu wa mitema na newala alivyokawafanyia but yet wanampenda. si unajua ngozi nyeusi na hii rangi ya wenzetu tena? hata house girl atakaa kwa muindi akanyanyaswa but mchukue mtu mweusi uone.

Nawatakia maisha mema hekima na busara wanamtwara na serikali. maisha ni mafupi sana and we will all leave kila kitu hapa duniani.
 
Mimi naona wana Ntwara watakuwa wameingia mtegoni mwa ccm.

huyu Murji wanaemtetea hajawahi hata kuomba mwongozo kushinikiza bunge lijadili hali ya vurugu jimboni kwake,

ccm imekataliwa nini kimewasibu hata wamkubali mbunge wa ccm.

Ni afadhali mwanaume kuingia choo cha kike kuliko mwanamke kuingia choo cha kiume (kwa swala la haja ndogo)
 
mkuu hakuna raslimali ya mtwara,popote pale zilipo raslimali za nchi hii ni za watanzani hakuna kuwaonea huruma wahuni,watu wanachoma mpaka nyumba na kuvunja madaraja halafu unasema wahurumiwe kwa kipi.

wewe inaonesha hata mkeo/ mumeo anachukuliwa na watu wengine ila cdhan km una muda wa kuhoji....so upuuzi wako unataka uwafananishe na wanamtwara. Endelea ku2mika km c...nd....m mwisho wake utaamka tu ucngizini.
 
Mkuu kuina kipindi lazima ujue kuwa kuna serikali

Chriss lukosi, hii ni serikali gani unayoitetea, hivi bado tu hawajakupa ukuu wa wilaya? Chini ya Kikwete miaka minane ya uongozi wake hajamaliza kile kipande cha Ndundu to Somanga cha kilomita 62 cha barabara ya kuunganisha kusini na dar kilichoachwa na Mkapa, bado unasema kuna serikali ambayo wanakusini wanatakiwa kuitii?????????? We utakuwa ni lazima MCHUMIA TUMBO, basi magamba wenzio watakupa tu vyeo. Unaitii serikali isiyokujali? Wanakusini wameamka. Dhahabu zenu huko mnaachiwa mashimo tu, huku gesi lazima kieleweke. WAMAKONDE WANAMSIMAMO BWANA, chezea Wamakonde wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Serikali inayotumia nguvu kuwatuliza wananchi ni dalili za kutokujiamini...
Mbaya zaidi wamefikia hadi hali ya kutumia Jeshi la Wananchi ili kuwatuliza wananchi...
Je umeshajiuliza kama Jeshi likishindwa kazi ni mamlaka gani itafuta kama sio umwagaji damu???

Huko mtwara inabidi vijana wa FFU Ukonga AKA Ghasia kuu waende kupiga kambi kama mwezi tu na nina uhakika hatutasikia tena akina njomba wanchema tuchimumunye wala tuchiteme
 
Mimi naona wana Ntwara watakuwa wameingia mtegoni mwa ccm.

huyu Murji wanaemtetea hajawahi hata kuomba mwongozo kushinikiza bunge lijadili hali ya vurugu jimboni kwake,

ccm imekataliwa nini kimewasibu hata wamkubali mbunge wa ccm.

Ni afadhali mwanaume kuingia choo cha kike kuliko mwanamke kuingia choo cha kiume (kwa swala la haja ndogo)

magamba kwa kweli ni janga....eti unaremba manenoooo na kupindisha pindisha ukweli...no one is after Murji,ccm,cuf wala Chadema... Wamakonde walishaweka msimamo kuwa ni gas kwanza vyama baadaye!! Kikubwa kinachotakiwa hapa ni maendeleo ya watanzania wote bila kuwasahau wanamtwara.
 
Huko mtwara inabidi vijana wa FFU Ukonga AKA Ghasia kuu waende kupiga kambi kama mwezi tu na nina uhakika hatutasikia tena akina njomba wanchema tuchimumunye wala tuchiteme

Hayo ni mawazo mgando.Nguvu bila akili ndo nini Sasa? Kama ni hvo Mgogoro wa Malawi isitumike diplomasia.
 
mh...! leo sijui!! lakini hadi sasa kila kitu kinaendelea kama kawaida kwa mujibu wa mwanandani wangu..
 
Mimi naona wana Ntwara watakuwa wameingia mtegoni mwa ccm.

huyu Murji wanaemtetea hajawahi hata kuomba mwongozo kushinikiza bunge lijadili hali ya vurugu jimboni kwake,

ccm imekataliwa nini kimewasibu hata wamkubali mbunge wa ccm.

Ni afadhali mwanaume kuingia choo cha kike kuliko mwanamke kuingia choo cha kiume (kwa swala la haja ndogo)

Hapana, CCM imekataliwa na itaendelea kukataliwa, kinachowafanya wanamtwara sasa wasimame upande wa Murji ni baada ya kuwaunga mkono wanamtwara, hasa baada ya kumchomea nyumba yake moto. Murji sasa hayupo upande wa serikali wala wa CCM, yuko upande wa wananchi.
 
Mbona tulishaambiwa mkiona maaandamano ni CDM
vipi ntwara mbona naona CUF TLP na CCM ndo wanakatwa???

Ndugai hebu nijibu tafaaadhali!
 
Back
Top Bottom