Tetesi: Shughuli zote kusimama Mtwara leo kushinikiza Murji aachiwe

Stand ya Mabasi ya Mikoani na Daladala....

33xiud5.jpg
 
prince mikosi, tatizo lako akili imeacha kufanya kazi kilichobaki ni mdomo tu, hata kuandika kwako vidole vinafuata mdomo unacheza vipi. Hivi umewahi kujiuliza nchi hii ina ffu wangapi, au jumla ya askari wote na wanajeshi wote ni wangapi ukalinganisha na idadi ya wananchi wa eneo husika!!!? Uwe unatumia akili kabla hujafa, sio kukimbilia kuandika tu. Na iyo fikira mbovu ulo nayo ndi hasa kichwa cha mwendawazimu cha wanaccm kinavyofanya kazi, kuhamisha policcm huku kupeleka kule, je huku unakowatoa kukiwaka, unafanya nini!!!? pimbi kweli wewe ... Jaribu kutumia akili, nguvu na maarifa kuwaza maendeleo na utaifa kwa ajili ya wanao, sio kukimbili kuandika tu, au tuseme wewe mgonjwa basi kama ccm wengi walivyo kinachopelekea watumi ugonjwa wa akili walio nao kufanya maamuzi kwa ajili ya maangamizi yao kesho.
Watabana mwisho wataachia tu,
Gesi ni ya nchi nzima na lazima itatoka tu, mbona sisi wahehe ulanzi wetu unatoka Iringa kwenda mikoa ya jirani na hatulalamiki?
 
Then what ? Hizo posho na gharama atalipa nani ?
Hivi si nyie mliokuwa mnasema vurugu hizi zinapikwa na wapinzani coz wanapenda fujo, sasa hii ya Murji mbona hatusikii zile ngonjera ??

Huko mtwara inabidi vijana wa FFU Ukonga AKA Ghasia kuu waende kupiga kambi kama mwezi tu na nina uhakika hatutasikia tena akina njomba wanchema tuchimumunye wala tuchiteme
 
Watabana mwisho wataachia tu,
Gesi ni ya nchi nzima na lazima itatoka tu, mbona sisi wahehe ulanzi wetu unatoka Iringa kwenda mikoa ya jirani na hatulalamiki?

Bora ukae kimya....naona huna hoja za msingi kabisa, ulanzi wenu ndiounazidi kuwaharibu vijana wetu hadi wanashindwa kujitambua!! Bastard!!
 
Umeona eeh!

Ila mimi hainipi mashaka. Shida yangu tu wananichelewesha kutumia gesi. Ngoja wapigwepigwe kwanza

huyu kweli katoka kubaya, kwa taarifa yako gesi huwezi kuitumia labda unayotoa wewe, adhawaisi umushauri mkuu ajue kuwa bila watu yeye hayupo kwa hiyo aache ubabe na awasikilize na aruhusu mikutano ya hadhara watu watapate habari kutoka katika vyama vyao. Mficha uchi hazai.
 
Duuh hiyo gesi imekuwa hatari kwa maisha ya wananchi wa kawaida ambao huenda hata hawajui wanachokipigania
 
Back
Top Bottom