Tetesi: Rostam kuwa Waziri wa Fedha

Tetesi: Rostam kuwa Waziri wa Fedha

Mkuu OKW BOBAN SUNZU inamaana wana mageuzi mmeisha kata tamaa kiasi hicho kuwa Octoba CCM watashinda na hata mmesahau mipango yenu ya kutoa elimu kwa umma na sasa mmekuwa wanajim wa baraza la mawazili la awamu ya tano chini ya CCM?

Hii ni chini kabisa mkuu wangu kwa jinsi ninavyokuelewa! FCC
 
Last edited by a moderator:
Edward Lowassa akiwa prezoo.
Waziri Mkuu ni Karamagi
Waziri wa sheria Chenge
Waziri wa fedha Rostam
Waziri wa maliasili Serukamba
Waziri wa madini Ngeleja
Waziri wa uchukuzi Juma Kapuya
Waziri wa Tamesemi Siyoi
 
kwa vile inajulikana kwamba lowasa ataangukia pua basi inasemekana ameamua kubeba makapi yote yaliyoshindikana ili kuvunja ccm , kasema kama mmbwai mmbwai tu.
 
Mkuu OKW BOBAN SUNZU inamaana wana mageuzi mmeisha kata tamaa kiasi hicho kuwa Octoba CCM watashinda na hata mmesahau mipango yenu ya kutoa elimu kwa umma na sasa mmekuwa wanajim wa baraza la mawazili la awamu ya tano chini ya CCM?

Hii ni chini kabisa mkuu wangu kwa jinsi ninavyokuelewa! FCC
Mkuu inaitwa chochea kuni
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hizi ni tetesi katika kambi ngumu ya Lowasa.Inasemekana Rostam Azizi ameandaliwa kuwa waziri wa fedha.Tetesi hizi zinazuka kutokana na usiri uliopo katika safu ya Cabinet ya Lowasa.Inetonywa kuwa Rostam ni mfanyabiashara na mchumi hivyo wizara hiyo inamfaa

Hakika anatufaa na atastawisha uchumi wetu, mtu alobobea kwa mipango na kuanzisha biashra kubwa kwa ufanisi anaweza na hili litawezekana kama tutaacha ubaguzi wa rangi yake
 
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya

Mbunge wa kuteuliwa kama Akina muhongo
 
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya

Mzee unatumia viroba nini?Since katiba hii hii itakua ipo hai mpk anakua rais "which he will never be" kuna wabunge rais huteua,kwanini asimteue Rostam?

Mbwembwe zote unatoa wapi?Utaolewa!
 
Huyo yupo poa kabisa, waziri wa fedha lazima awe na uhusiano na fedha. Pengine shilingi itaifikia dola.
 
Mzee unatumia viroba nini?Since katiba hii hii itakua ipo hai mpk anakua rais "which he will never be" kuna wabunge rais huteua,kwanini asimteue Rostam?

Mbwembwe zote unatoa wapi?Utaolewa!

Astaghafula we ebu tuliza huo mkia wako usifikiri kila mtu anaoleka kama wewe, hata kwako najua ni bahati mbaya tu
 
Wakuu hizi ni tetesi katika kambi ngumu ya Lowasa.Inasemekana Rostam Azizi ameandaliwa kuwa waziri wa fedha.Tetesi hizi zinazuka kutokana na usiri uliopo katika safu ya Cabinet ya Lowasa.Inetonywa kuwa Rostam ni mfanyabiashara na mchumi hivyo wizara hiyo inamfaa

He he he jamaa kulipa kodi ndo basi tena.Mkuu vipi kuhusu Karamagi na Msabaha?
 
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya

Mkuu usisahau kuwa Rais anaruhusiwa na katiba kuteua wabunge 10!
 
......Nasikia "Prince" atakabidhiwa nafasi ya Mkurugenzi wa Kikosi cha Kupambana na Madawa ya Kulevya nchini na Kinana atakuwa Waziri wa Maliasili.
 
Back
Top Bottom