Tetesi: Rostam kuwa Waziri wa Fedha

Tetesi: Rostam kuwa Waziri wa Fedha

Usisahau kuna wabunge wa kuteuliwa. Raisi anateua wabunge kwa mapenzi yake bila kanuni maadamu anataka, wengine mtake msitake.Tetesi hizi si za kuzipuza kwa sababu kuna uwezekano mkubwa pia Bwana Chenge akawa Waziri Mkuu.
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya
 
Mkuu naweka tu sawa, waziri lazima awe Mbunge haijalishi ameupataje ila waziri mkuu ni lazima awe Mbunge Wa kuchaguliwa na wananchi

Asante mkuu ndicho nilichokuwa namwambia mleta tetesi
 
Usisahau kuna wabunge wa kuteuliwa. Raisi anateua wabunge kwa mapenzi yake bila kanuni maadamu anataka, wengine mtake msitake.Tetesi hizi si za kuzipuza kwa sababu kuna uwezekano mkubwa pia Bwana Chenge akawa Waziri Mkuu.

Lakini huyu si alishastaafu siasa zag bongo???? Nadhani lengo lake ni kumsapoti tushikaji kama walivyofanya kwa ......
 
Usisahau kuna wabunge wa kuteuliwa. Raisi anateua wabunge kwa mapenzi yake bila kanuni maadamu anataka, wengine mtake msitake.Tetesi hizi si za kuzipuza kwa sababu kuna uwezekano mkubwa pia Bwana Chenge akawa Waziri Mkuu.

Waziri mkuu wa Lowassa atakuwa mwigulu nchemba!
 
rostam bado yupo tz?? si nasikiaga walimfukuza ? nasikiaga anakujaga kutembea tu bongo na kurudi majuuu
 
Wakuu hizi ni tetesi katika kambi ngumu ya Lowasa.Inasemekana Rostam Azizi ameandaliwa kuwa waziri wa fedha.Tetesi hizi zinazuka kutokana na usiri uliopo katika safu ya Cabinet ya Lowasa.Inetonywa kuwa Rostam ni mfanyabiashara na mchumi hivyo wizara hiyo inamfaa

Huu ni uongo
 
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya
wewe ndo anza upya.Prof.Muhongo aliyekuwa waziri wa nishati alikuwa mbunge wa wapi.huyu Saada Waziri wa Fedha ni mbunge wa jimbo gani?Waziri wa sheria ni jimbo gani.
 
Hazina yote itabebwa!!! halafu wanaingiza note fake zote!!! then tume inaundwa!!
 
Usisahau kuna wabunge wa kuteuliwa. Raisi anateua wabunge kwa mapenzi yake bila kanuni maadamu anataka, wengine mtake msitake.Tetesi hizi si za kuzipuza kwa sababu kuna uwezekano mkubwa pia Bwana Chenge akawa Waziri Mkuu.

Joka la makengeza likiwa waziri mkuu itakuwa ni janga la taifa
 
rostam kamfadhili sana Lowasa, lowasa anaposema fedha anapewa na rafiki zake mmoja wao ni Rostam, lowasa akiwa rais rostam atakuwa tajiri namba moja Afrika kila tenda ya serikali atakuwa anapewa yeye, atapewa hadi tenda za halmashauri.

Ndio maana watanzania tunamuheshimu sana bakharesa yeye pekee ndio mwenye utajiri wa halali hausiki na ufisadi. Hawa wengine mara utasikia fisadi papa huyu nae anamjibu mwenzake kwa kumuita fisadi nyangumi eti cha ajabu leo wameunga kumbe wote walikuwa wanagimbea kutufisadi watz
 
wewe ndo anza upya.Prof.Muhongo aliyekuwa waziri wa nishati alikuwa mbunge wa wapi.huyu Saada Waziri wa Fedha ni mbunge wa jimbo gani?Waziri wa sheria ni jimbo gani.

Nitamwambia a-tweet kukana hizi tuhuma zako maana sasa hivi mnajitahidi sana kutafuta visingizio patachimbika mwaka huu.
 
Wakuu hizi ni tetesi katika kambi ngumu ya Lowasa.Inasemekana Rostam Azizi ameandaliwa kuwa waziri wa fedha.Tetesi hizi zinazuka kutokana na usiri uliopo katika safu ya Cabinet ya Lowasa.Inetonywa kuwa Rostam ni mfanyabiashara na mchumi hivyo wizara hiyo inamfaa
Ficha upuuzi wako
 
Acha useng. Ww kama huna cha kuandika piga kmy sio unaleta pumba zako hapa *****
 
Nitamwambia a-tweet kukana hizi tuhuma zako maana sasa hivi mnajitahidi sana kutafuta visingizio patachimbika mwaka huu.

Hasa haja ya kujibu kila upuuzi unaoandikwa na maamuma... He should focus on to other things
 
Rostam Hatakubali.
Afu pia inaonesha watu wako obsseses sana na Lowasa and Friends.
UKAWA sasa haiongelewi kabisaaaa.
 
Back
Top Bottom