ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Muhongo ni mbunge wa jimbo gani? Alikua waziri huyo.
Viti maalum labda japo havai sketi mrema anaweza kuwapa jibu
Muhongo ni mbunge wa jimbo gani? Alikua waziri huyo.
Viti maalum labda japo havai sketi mrema anaweza kuwapa jibu
Mhe Dr. Asha Rose Migiro, Prof. Mbawala, Prof Muhongo ni kutoka majimbo gani, hata mbunge wa kuteuliwa anaweza kuwa waziri rafiki, ni waziri mkuu tu pekee ndio lazima awe waziri na mbunge kutoka jimboni!
Lakini nasikia pia yule mhindi Fazal wa Leopard tours atakuwa waziri ikiwa Edo atachaguliwa na wajinga
It was my exmbunge wanguuu