Tetesi: Rostam kuwa Waziri wa Fedha

Tetesi: Rostam kuwa Waziri wa Fedha

Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya

umechemka,Rais anaweza kumteua mtu na kuwa ubunge kisha uwaziri.Tatizo hamjui siasa mnavamia vamia majukwaa.Subirini mliwe kwanza ndo akili zikae sawa.
 
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya

Muhongo ni mbunge wa jimbo gani? Alikua waziri huyo.
 
rostam kamfadhili sana Lowasa, lowasa anaposema fedha anapewa na rafiki zake mmoja wao ni Rostam, lowasa akiwa rais rostam atakuwa tajiri namba moja Afrika kila tenda ya serikali atakuwa anapewa yeye, atapewa hadi tenda za halmashauri.

Mkuu huo ndo ukweli na kwa RA Lowasa hasemi lolote!
 
Watanganyika mmelogwa.
Hatujarogwa, we wa nchi gani vile? Halafu siyo kila utumbo unaoletwa humu lazima uchangie. Kama mleta mada kaona rostam anamfaa yeye asimsingizie Lowasa. Uchafuaji mwingine huu maana mleta mada anajuwa Rostam kuna watu hawamkubali hivyo akimchanganya kwa EL basi atafanikiwa kuzidi kuchafua.
 
Hivi kwa akili yako mleta uzi Rostam ana shida na hiyo nafasi?
Yeye ndio kashika remote, ana drive mpaka rais eti awe waziri hana shida hiyo huyo jamaa
Hakuna popote Lowasa katamka hayo na wala RA hajawahi kuonesha interest ya kuwa waziri mkuu. Haya ni mawazo ya mleta mada OBS.
Panga safu ya ukawa tuione. Lema bungeni kasema yeye ndo waziri wa mambo ya ndani mtarajiwa.
 
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya

Kama waziri lazima awe nbunge, je, Prof muhongo na James Mbatia ni wabunge wa wapi?
 
Sasa huyu ufanyabiashara wake utaisaidia vipi nchi, kurobb tender tata!? ...nchi gani ina wajinga wanaoweza kuwa robbed!?
Kama haya yatatimia basi itabidi tuwe kama Madagascar ambao Bunge limeweza kumkataa rais kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani naye!
 
Hi tetesi nadhani sio ya kweli, mtu kama RA kwa nature ya biashara zake nahakika hana mpango wa kua waziri kwenye wizara yoyote, uwezo wa kutawala nchi kwa remote hata raisi awe nani maadamu tu raisi atokane na ccm! Kwani Mohamed Dewji mnamuona hata bungeni? Matajiri hawa na siasa wanalazimisha tu ili mambo yao yaende vizuri.
 
Mkuu usisahau kuwa Rais anaruhusiwa na katiba kuteua wabunge 10!

Ni waziri mkuu tu ndio lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.

Kama waziri lazima awe nbunge, je, Prof muhongo na James Mbatia ni wabunge wa wapi?

Tuko bizee arusha wakuu nyie endeleeni kuwan..ga huko kubwa tunwombea uzima mzee wetu mengine yote mungu alishatuonesha. Nasisitiza tena rost.am ni supporting team as a best friend of our candidate hana mpango na vyeo vyenu.
 
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya

Mhe Dr. Asha Rose Migiro, Prof. Mbawala, Prof Muhongo ni kutoka majimbo gani, hata mbunge wa kuteuliwa anaweza kuwa waziri rafiki, ni waziri mkuu tu pekee ndio lazima awe waziri na mbunge kutoka jimboni!
 
Tuko bizee arusha wakuu nyie endeleeni kuwan..ga huko kubwa tunwombea uzima mzee wetu mengine yote mungu alishatuonesha. Nasisitiza tena rost.am ni supporting team as a best friend of our candidate hana mpango na vyeo vyenu.

Kila la kheri na endeleeni na ubize huko Arusha
 
Back
Top Bottom