Nyamaninyama
Senior Member
- May 7, 2015
- 116
- 276
Sasa unauliza jimbo atakalogombea kwani bwn muongo na mbatia na waziri wa fedhabwabsasa wanatokajimbo gani?
Haya MAJIZI MATATU HAYAWEZI KUPATA URAIS..Chenge,Rostam na Lowasa
Wakuu hizi ni tetesi katika kambi ngumu ya Lowasa.Inasemekana Rostam Azizi ameandaliwa kuwa waziri wa fedha.Tetesi hizi zinazuka kutokana na usiri uliopo katika safu ya Cabinet ya Lowasa.Inetonywa kuwa Rostam ni mfanyabiashara na mchumi hivyo wizara hiyo inamfaa
Akiwa waziri wa fedha uchumi wa nchi utapaa.. ni graduates wa Havard huyo
Endeleeni kuhisi hisi hivyo hivyo!
Mkuu naweka tu sawa, waziri lazima awe Mbunge haijalishi ameupataje ila waziri mkuu ni lazima awe Mbunge Wa kuchaguliwa na wananchi
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya
Team mdmu mnahaha sana lowasa ndye rais ajaye kwanza wahamiaji haramu hatuwatak kama mleta madaWakuu hizi ni tetesi katika kambi ngumu ya Lowasa.Inasemekana Rostam Azizi ameandaliwa kuwa waziri wa fedha.Tetesi hizi zinazuka kutokana na usiri uliopo katika safu ya Cabinet ya Lowasa.Inetonywa kuwa Rostam ni mfanyabiashara na mchumi hivyo wizara hiyo inamfaa
Akiwa waziri wa fedha uchumi wa nchi utapaa.. ni graduates wa Havard huyo
Naskia Bashe atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya
Lakini huyu si alishastaafu siasa zag bongo???? Nadhani lengo lake ni kumsapoti tushikaji kama walivyofanya kwa ......
Hizi tetesi hazina mashiko nadhani kabla ya kuongelea uwaziri ni vizuri ukaanza na jimbo atakalogombea maana kwa katiba yetu lazima awe mbunge kwanza. Anza upya
Kwani Muhongo aligombea na kushinda jimbo gani? tumia kichwa kufikiri dogo