Hizi ni propaganda na uzushi unaoenezwa na watu ambao hawataki haya mafunzo na wengine kwa sababu tu kuwa wao kila kitu huwa wanakichukulia in a negative way,,nina mdogo wangu amemaliza mafunzo huko,nilimhoji sana hizi habari za kubakwa, kwanza anasema hakuna kubakana,na anasema sana sana vitendo vya ngono ambavyo ni maridhiano ni kati ya kuruta wenyewe,lakini kwa wakufunzi hakuwahi kuona licha ya kuwa watoto wa kike saa zingine kwa kupenda mteremko huwa wanajitongezesha kwa wanafunzi.Dogo anasema vitendo vya ngono vinakatazwa na kuna utaratibu wa kuripoti unaomlinda victim incase ametendewa hivyo.Jamani hii nchi ni yetu sote,,si vzr kusingizia tuhuma,,tuzikabili changamoto zilizopo mbele yetu kwa uhalisia na sio kusema uongo.Mungu ibariki Tanzania.