Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Mkuu uchunguzi huru akufanyie nani nchi yetu hii. Kuna matukio mangapi mpaka sasa hatujaona majibu . Muombe Mungu tu kama una mtoto mwingine usimpeleke huko . Mpeleke vyuo vingine sio lazima wote wasome mlimani.Naunga mkono hoja. Kwa kuwa tayari hii habari imeshasambaa kwenye mitandao mbali mbali hapa nchini, kuna haja ya viongozi wa jeshi kufanya uchunguzi huru ili kubaini haya. Vinginevyo kwa kweli hii itakuwa ni hatari kubwa kwa watoto wetu na kwa kizazi chetu cha nchi hii.