Sarya
Senior Member
- Nov 6, 2009
- 151
- 41
...Kuna mambo yapo clear, marehemu alipigiwa simu kabla ya kifo chake ili aonane na mtu/watu, kawani alikuwa akiangalia taarifa ya habari karibu na maeneo yake na hapo kabla waliipa kijiji cahao siku tatu kutoa ripoti ya mapato na matumozi ya kijiji. Baada ya kutoka hapoa alipokuwa akiangalia taarifa ya habari ndo ikawa kesho yake kakutwa ameuliwa.
My take: kama alikutwa amekufa na simu yake kuchukuliwa, ina maana makampuni ya cm yana namba za cm zilizoingia kabla ya kifo chake. na kama ndivyo, hizo namba ni za nani na nani. Huu ushahidi uko bayana ni vile serikali yetu na vyombo vya dola vinatumika kisiasa au wana usalama hawataki kufikiria nje ya utaratibu wa kwaida.