DAMU YA KADA WA CHADEMA KUFUNUA CHUNGU CHENYE UOZO WA WAFUGAJI MAGAIDI WANAOANZA KUTAMBULISHA 'BEHEADING' KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI
Mwanangu, you are a wiseman.
Wengine usione tumekwepa sana kuliongelea swala hili la kuchinjwa kwa kada wa pili wa CHADEMA mara tu baada ya uchaguzi mdogo; chini ya bahari kuna mazito yanayoendelea juu ya hili - tulieni!!!
Kamuulize January Makamba kwamba kile kikao cha wanausalama pale shule ya msingi Usa River wenzetu wamepanga kunyonga wangapi kama walivyofanya Igunga kwa maagizo ya huyu kijana mwenzetu?
CHADEMA, swala hili la BEHEADING ambalo ni tukio la pili nchini ambalo asili yake inajulikana kuwa ni la kule Middle East hivi sasa inafuatiliwa kwa karibu kuliko kawaida na taasisi nyeti za kimataifa; hako ka-uchunguzi ka polisi ya CCM ni cha mtoto to.
Hakika mauaji ya Kamanda Mbwambo kamechangia kudhibitisha madai mazito tena nyeti mno kwamba kuna ka-harufu ya MAGAIDI ukanda wa Pwani mwa-Afrika Mashariki hivyo dots lazima zitaunganishwa mbali zaidi ya tunachokiona kama ka-uchaguzi wa Igunga na Arumeru Mashariki tu.