Tetesi: HUSEIN MAKURUZO KATOKA MAHABUSU

Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,982
34,476
Mashabiki wa soka la bongo watakuwa wanamkumbuka mchezaji huyu, alicheza na kina Mgunda, Razack Yusuph, kifupi enzi za kina Tenga.

Mwaka 1994 alikamatwa nchini Malawi kosa ikiwa ni kukutwa na madawa ya kulevya, kwa miaka 17 amekaa mahabusu na wiki jana kaachiwa, kadandia lori na kaingia DSM juzii.

Mzigo aliokamatwa nao ulikuwa wa mfanyabiashara maarufu (sasa marehemu) mke wa mfanyabiashara huyu aliwahi kuwa mwanasiasa.

Nimeiweka kama tetesi, mwenye kujua zaidi kuhusu nguli huyu wa soka anaweza kuchangia zaidi :juggle:
 
Kesho atakuwa anaelekeaTanga, anajua Mpakanjia keshatangulia mbele za haki, amebeba uchungu naye na jamii yake,
 
duu bora ametoka mzima aje ashangae mambo yaliopo bongo..

Ameshangaa kukuta kigamboni pana kivuko kikubwa na mv. Alina haipo tena, Mama Rwakatale kawa mbunge na anawalaani wanaotumia 'unga' na 'kuwalaani' wanaouingiza
 
Si umtaje Obe why wondering in the bushes ?

Soka, wapo wachezaji walitumika kusafirisha dawa za kulevya, Medy anatajwa kumtosa Hussein wakati alijua mwanasoka alibeba mzigo wake
 
mpakanjiaaaaaaaa..,ila brother umetuuzia cd,mgunda na careca hawakuwahi kucheza na Tenga,wale ni wadogo sana hata kwa mkwasa
 
mpakanjiaaaaaaaa..,ila brother umetuuzia cd,mgunda na careca hawakuwahi kucheza na Tenga,wale ni wadogo sana hata kwa mkwasa

Mengine yanaweza kuwa tetesi, Tenga unajua kacheza mpira na kina nani (sisemi enzike akichezea Kandambili au PA),
Nimesema enzi za kina Tenga, unajua Hussein kazaliwa 1950's umewahi kumskia mchezaji huyu?
 
Shaka yangu iko kwa mgunga na careca zaidi,kwa kuwa wakati hao wakicheza pamoja na kina mkanwa makocha walikua kinanda na mziray ambao katika hali ya kawaida wakati tenga anacheza mziray sijui alikuwa malangali akisoma sekondari labda,hapo ndio kwenye tatizo,kuhusu makuruzo sifahamu sana kwa kuwa alicheza muda mrefu so inawezekana alicheza na tenga kidogo sina uhakika hapa,ila mgunda,mkanwa,careca,ali muamba,makene, n.k. kucheza na tenga hapana
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Ameshangaa kukuta kigamboni pana kivuko kikubwa na mv. Alina haipo tena, Mama Rwakatale kawa mbunge na anawalaani wanaotumia 'unga' na 'kuwalaani' wanaouingiza

Kwani Kipindi Hussein anadakwa Rwakatale alikuwaje?? Mana jamaa now anashangaa huyu maza ni mbunge
 
Arudi bongo tuchanganyike..Rais sasa ni JK..MWINYI na MKAPA walishatoka.Bei ya kg 1 ya mchele sh 2300,mwaka 1994 wakati anaingia jela sijui ilikuwa bei gani (wakati huo nipo primary),bei ya sukari kg 1 ni 2500 sasa enzi hizo 300.

Bei ya wali na mchuzi wa nyama kwa mama ntilie ni 1500 mpaka 2000 sijui enzi zake bei gani.By the way sasa hivi kilicho rahisi ni muda unaoweza kuutumia kumtongoza binti,sasa hivi umefupishwa sana hata ndani ya dakika 5 unapata unachohitaji.

Karibu sana.
 
​
Mengine yanaweza kuwa tetesi, Tenga unajua kacheza mpira na kina nani (sisemi enzike akichezea Kandambili au PA),
Nimesema enzi za kina Tenga, unajua Hussein kazaliwa 1950's umewahi kumskia mchezaji huyu?

Hivi unamzungumzia huyu aliyecheza Coastal Union miaka ya 80?

Wachezaji waliotamba katika miaka ya themanini kwa upande wa Coastal ni pamoja na Mohammed Mwameja, Douglas Muhani, Yasin Abuu Napili, Said Salum Kolongo, Kassa Mussa, Ali Maumba, Ali Jangalu, Hussein Mwakuruzo, Juma Mgunda, Razak Yusuf "Careca" na wengineo.

Sports ilitamba na akina Dancun Mwamba, Francis Mandoza, Juma Burhani, Mchunga Bakari, Victor Nkanwa, Abasi Mchemba, Mhando Mdeve na wengineo.

Katika hiyo group hapo juu hakuna aliyecheza na Tenga

Baadhi ya wachezaji hao sasa hivi ni marehemu
 
Mashabiki wa soka la bongo watakuwa wanamkumbuka mchezaji huyu, alicheza na kina Mgunda, Razack Yusuph, kifupi enzi za kina Tenga.

Mwaka 1994 alikamatwa nchini Malawi kosa ikiwa ni kukutwa na madawa ya kulevya, kwa miaka 17 amekaa mahabusu na wiki jana kaachiwa, kadandia lori na kaingia DSM juzii.

Mzigo aliokamatwa nao ulikuwa wa mfanyabiashara maarufu (sasa marehemu) mke wa mfanyabiashara huyu aliwahi kuwa mwanasiasa.

Nimeiweka kama tetesi, mwenye kujua zaidi kuhusu nguli huyu wa soka anaweza kuchangia zaidi :juggle:

Kwanza nakutaka radhi nadiriki kukuita MUONGO ikiwezekana Mob ifuteni hii THREAD inachafua jina la mtu...kwanzA jina umekosea ni HUSSEIN RUGA MWAKURUZO na miaka mingi yuko UK na family ,mdogo wake ni ALLY RUGA MWAKURUZO yeye yuko NEDERLAND...na
HUSSEIN hakuwahi kucheza na TENGA.
 
Attachments

  • RUGA.jpg
    RUGA.jpg
    11.1 KB · Views: 101
  • RUGA2.jpg
    RUGA2.jpg
    83.2 KB · Views: 115
Kwanza nakutaka radhi nadiriki kukuita MUONGO ikiwezekana Mob ifuteni hii THREAD inachafua jina la mtu...kwanzA jina umekosea ni HUSSEIN RUGA MWAKURUZO na miaka mingi yuko UK na family ,mdogo wake ni ALLY RUGA MWAKURUZO yeye yuko NEDERLAND...na
HUSSEIN hakuwahi kucheza na TENGA.

Tetesi ina yote, ila kwa hilo nadiriki kuchagua la UKWELI, ninayemsemea ni huyu mwenye mabinti wawili, wanaishi Tanga, ni suala la tetesi tu, fuatilia hapa na utaujua ukweli,
Hivi ukiandikiwa '1990s huwa unaelea nini kichwani kwako! Unajua ninaposema enzi za huyu mwenye red namaanisha kipindi gani
 
du miaka 17....

Na mkewe hajaolewa hata hussein alipoashauri afanye hivyo. Wakati mwingine si rahisi kukubali habari inayokuwa ni tetesi japokuwa mtu makini hapaswi kuipoteza na asiwe na uwezo wa kuipata akiihitaji
 
Mkuu TONGONI!

Hizi picha ni za Hussein? Kama unataka kuiishinda tetesi weka picha ya huyu jamaa 'anayetetesiwa' na si kuweka picha za jamaa zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom