Tetesi: HUSEIN MAKURUZO KATOKA MAHABUSU

halafu wanasoka wa Tanzania sijui ni laana au kitu gani,mpira ukiisha ni wachache sana utakuta wana kazi za maana wengi wao wanaishia kwenye ujambazi,ushoga,ulevi mavi au uuzaji wa madawa ya kulevya kama si utumiaji!
 
Kuna wakati walitumika sana na wahindi waliojiita wafadhili, wapo waliopata bahati na kutoka, wengine ndo hao waliokufa kutokana na 'ulevi mavi' na mmoja ndo huyu kakaa mahabusu Malawi 17 miaka kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya.
Inasikitisha sana, huwezi amini, unamnunulia chakula anashindwa kukila sababu ikiwa ni kuozea mlo mmoja aliokuwa akiupata mahabusu, anaishia kunywa valuuu.
Yote kwa yote, keshafika home kwake na kama atafanya anayofikria basi kuna watu usiowadhania watafungua kesi za kuchafuliwa
 
Nadhani hapa kuna issue ya mistaken identy. Makuruzo na Mwakuruzo ni watu wawili tofauti. Mwakuruzo ndiye huyo aliyeko UK na Makuruzo ndiye huyo aliyekaa mahabusu Malawi kwa miaka 17!.

Kati ya hao wawili kuna mmoja alikuwa ni mchezaji mpira na kuna mwingine, kutokana na jina kufanana na mchezaji mpira na yeye akaji ita ndiye mchezaji kwa kifupi ni imposter tuu.

Kwa kutumia comon sense, wachezaji au wanaspoti ni watu masharp, haiwezekani akae mahabusu miaka 17!. Mwakuruzo ndiye mchezaji halisi na yuko UK raha mustarehe. Huyu aliyekaa mahabusu miaka 17 ni Makuruzo mwingine ambaye ni imposter wa Mwakuruzo halisi kwa vile tuu majina yanafanana!.

Mode, naomba ifungilie mbali hii thread ina lengo la kuchafua majina ya watu!.

Wanabodi, kumsingizia kitu kibaya marehemu kina laana mbaya ambayo haifutiki!.
 
Pasco!

Mod wakishindwa kuitoa, itoe wewe. Hakuna nia ya kumchafua mtu hapa, ninaongelea Makuruzo ambaye alishiriki kubeba mzigo wa vibosile na akakamatwa Malawi akitokea SA.

Huo u-shapu wa wanamichezo hakuna anayeubishia, ni kama uwepo wa rushwa katika jeshi la polisi sio Tz pekee.
Kuhusu laana isiyofutika: Kumtumikisha mtu kwa kazi ya hatari na baadae kumtosa baada ya kukamatwa, kumuacha mkewe kukaa miaka 17 akiwa na nadhiri ya ndoa, kutoshuhudia ndoa za binti zako, kwako hii si laana. Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na haikosi watetezi
 
Hivi hakuna polisi wa JF? Wapeleke haya madai Interpol.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom