Tetesi: HUSEIN MAKURUZO KATOKA MAHABUSU

Tetesi ina yote, ila kwa hilo nadiriki kuchagua la UKWELI, ninayemsemea ni huyu mwenye mabinti wawili, wanaishi Tanga, ni suala la tetesi tu, fuatilia hapa na utaujua ukweli,
Hivi ukiandikiwa '1990s huwa unaelea nini kichwani kwako! Unajua ninaposema enzi za huyu mwenye red namaanisha kipindi gani

Hawa ni baadhi ya waliokutana na HUSSEIN RUGA MWAKURUZO timu ya Taifa....Mkuu Obi hizo picha ni za Hussein...moja yuko pekee yake na nyingine na family yake na hii hapa nimekuongeza wakati akiwa timu ya Taifa 1987....

Waliosimama toka kushoto ni
Michael John
John Makelele
Hussein Ruga Mwakuruzo
Michael Kidilu
Khalfan Ngassa
mavumbi Omar
Abeid Mziba

mstari wa kati kutoka kushoto

Issa Athumani Mgaya
Yasin Abuu Napil
said John
Edgar Fongo
Raphael Paul
Sanifu Lazaro

mstari wa chini toka kusho ni makipa
sahau Kambi
John Bosco
 
Attachments

  • TIMU YA TAIFA 80's.jpg
    TIMU YA TAIFA 80's.jpg
    79.1 KB · Views: 174
Mkuu TONGONI!

Hizi picha ni za Hussein? Kama unataka kuiishinda tetesi weka picha ya huyu jamaa 'anayetetesiwa' na si kuweka picha za jamaa zake.

Mkuu Obi inaonekana hata HUssein mwenyewe humjui hizo picha ni za Hussein na nimekuongezea picha akiwa timu ya Taifa 1987...waliosimama watatu toka kushoto
 
mpakanjiaaaaaaaa..,ila brother umetuuzia cd,mgunda na careca hawakuwahi kucheza na Tenga,wale ni wadogo sana hata kwa mkwasa
Waliocheza na Hussein timu ya Taifa ni

Sahau Kambi
John Bosco

Mavumbi Omar
Raphael Paul
Michael Kidilu

Yassin Abuu Napil
Said John
Michael JOhn

Khalfan Ngassa
Issa Athumami
Edgar Fongo
Abeid Mziba
John Makelele
Sanifu Lazaro
 
Hawa ni baadhi ya waliokutana na HUSSEIN RUGA MWAKURUZO timu ya Taifa....Mkuu Obi hizo picha ni za Hussein...moja yuko pekee yake na nyingine na family yake na hii hapa nimekuongeza wakati akiwa timu ya Taifa 1987....

Kwenye hiyo picha nimwakumbuka wachezaji wetu wa 1980's mpaka 1990's waliotangulia mbele ya haki,niliowakumbuka ni marehemu michael kidulu,wa kati kati kabisa katika waliosimama,sahau kambi,kati ya hao makipa wawili waliopiga magoti yeye ni wa kushoto,kapteni wa timu ya taifa wakati huo Issa Athuman Mgaya wa kwanza kutoka kushoto walioketi.
 
Shaka yangu iko kwa mgunga na careca zaidi,kwa kuwa wakati hao wakicheza pamoja na kina mkanwa makocha walikua kinanda na mziray ambao katika hali ya kawaida wakati tenga anacheza mziray sijui alikuwa malangali akisoma sekondari labda,hapo ndio kwenye tatizo,kuhusu makuruzo sifahamu sana kwa kuwa alicheza muda mrefu so inawezekana alicheza na tenga kidogo sina uhakika hapa,ila mgunda,mkanwa,careca,ali muamba,makene, n.k. kucheza na tenga hapana

Hussein ni mtu wa 60s na amemaliza Jumuiya Sec School 1981/1982

Mengine yanaweza kuwa tetesi, Tenga unajua kacheza mpira na kina nani (sisemi enzike akichezea Kandambili au PA),
Nimesema enzi za kina Tenga, unajua Hussein kazaliwa 1950's umewahi kumskia mchezaji huyu?
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Hussein ni mtu wa 60s na amemaliza Jumuiya Sec School 1981/1982

Bwana Tongoni nahisi wewe ndio mhusika mkuu,tunashukuru kwa kujitokeza,vipi Hussein Marsha nasikia yupo huko uk pia,vipi unazo taarifa zake,amepotea sana shujaa wangu yule...tuna hamu ya kusikia kutoka kwake pia.
 
Kwenye hiyo picha nimwakumbuka wachezaji wetu wa 1980's mpaka 1990's waliotangulia mbele ya haki,niliowakumbuka ni marehemu michael kidulu,wa kati kati kabisa katika waliosimama,sahau kambi,kati ya hao makipa wawili waliopiga magoti yeye ni wa kushoto,kapteni wa timu ya taifa wakati huo Issa Athuman Mgaya wa kwanza kutoka kushoto walioketi.

Bwana Tongoni nahisi wewe ndio mhusika mkuu,tunashukuru kwa kujitokeza,vipi Hussein Marsha nasikia yupo huko uk pia,vipi unazo taarifa zake,amepotea sana shujaa wangu yule...tuna hamu ya kusikia kutoka kwake pia.

mkuu ROMANTIC muungwana ni vitendo sina taarifa za Hussein Amani Marsha nakumbuka alitoka Pamba ya Mwanza kuja Simba pamoja na George Masatu 1991 ni mmoja kati ya viungo waliokuwa na uwezo mkubwa miaka ile.
 
Kwanza nakutaka radhi nadiriki kukuita MUONGO ikiwezekana Mob ifuteni hii THREAD inachafua jina la mtu...kwanzA jina umekosea ni HUSSEIN RUGA MWAKURUZO na miaka mingi yuko UK na family ,mdogo wake ni ALLY RUGA MWAKURUZO yeye yuko NEDERLAND...na
HUSSEIN hakuwahi kucheza na TENGA.

Nafahamu kuwa huyu jamaa anayeitwa Hussein Mwakuruzo ni dereva wa daladala katika mji mmoja wa katikati ya Uingereza. Labda mleta habari ana maana Husein Makuruzo na sio Hussein Mwakuruzo, majina haya yanaonekana kuwa tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Mkuu TONGONI!

Hizi picha ni za Hussein? Kama unataka kuiishinda tetesi weka picha ya huyu jamaa 'anayetetesiwa' na si kuweka picha za jamaa zake.
Huyo ndo Mwakuruzo mwenyewe 'in side ten' wa Coastal Union mnataka nini tena !
 
i think hii thread haina umuhimu tena wa kuwepo, unless kama mods bado hawajaamka
 
i think hii thread haina umuhimu tena wa kuwepo, unless kama mods bado hawajaamka

Waamshe, waiondoshe huku wakijua kuna tetesi ya huyu jamaa kurudi Tz, ni tetesi tu, huna haja ya kukaza misuli ya shingo
 
kifupi kubishana hakutasaidia,mimi binafsi nimeonana nae jana na kikweli amechoka na ana uchungu kwani amekaa miaka 17 jela huko malawi baada ya kukamatwa na mzigo wa madawa ya kulevya,akitokea south africa,amechoka hata ukimuona utajua huyu amepigika but kulingana na maelezo yake leo atakua anaelekea Tanga.ki ukweli nimeongea nae mambo mengi sana tukiwa maeneo ya ferry na alikua anasema anarudi ubungo stand atalala pale ili leo watoto wake wawili na mkewe wataondoka Tanga kuja kumchukua kwa private car,ameniambia wameachiwa baada ya kugoma kula ndipo balozi mdogo wa Tanzania nchini Malawi ambaye amedai ni mzanzibar kuwatembelea gerezan baada ya mazungumzo siku iliyofuata wakapelekwa mahakaman wakaachiwa kutokana na vielelezo kutokuwepo,pia muda waliokua gerezan.hata hivyo mwezake alikufa wakiwa njia hivyo kuzikwa huko malawi.yey kaenda mpakani akadandia mafuso kuja bongo
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Nafahamu kuwa huyu jamaa anayeitwa Hussein Mwakuruzo ni dereva wa daladala katika mji mmoja wa katikati ya Uingereza. Labda mleta habari ana maana Husein Makuruzo na sio Hussein Mwakuruzo, majina haya yanaonekana kuwa tofauti.

Mtoa habari amekusudia HUSSEIN RUGA MWAKURUZO ukitazama majina aliyo orozesha ya wachezaji waliocheza na huyo aliye muita HUSEIN MAKURUZO ni waliokuwa katika kikosi cha wakati wa MWAKURUZO na hakukuwa na mtu mwenye jina linalofanana na hilo
 
Sijamuelewa mwandishi labda tuibue mchango kwa kumkumbusha! ila mtu huyu binafsi kwa sasa sijui aliko japo jina lake na alichofanya katika soka hakijafutika kihivyo ukitaja Coastal Union!
 
Sijamuelewa mwandishi labda tuibue mchango kwa kumkumbusha! ila mtu huyu binafsi kwa sasa sijui aliko japo jina lake na alichofanya katika soka hakijafutika kihivyo ukitaja Coastal Union!

Mkuu, ni ngumu kuielewa tetesi, Makuruzo kapotea miaka mingi, huyo Mwakuruzo anamjua Tongoni but Makuruzo mida hii anauingia mji alioupenda
Naunga mkono hoja ya kutaka kuwajua nguli wetu waliowika katika medani za soka miaka ya 80 na 1990
 
kifupi kubishana hakutasaidia,mimi binafsi nimeonana nae jana na kikweli amechoka na ana uchungu kwani amekaa miaka 17 jela huko malawi baada ya kukamatwa na mzigo wa madawa ya kulevya,akitokea south africa,amechoka hata ukimuona utajua huyu amepigika but kulingana na maelezo yake leo atakua anaelekea Tanga.ki ukweli nimeongea nae mambo mengi sana tukiwa maeneo ya ferry na alikua anasema anarudi ubungo stand atalala pale ili leo watoto wake wawili na mkewe wataondoka Tanga kuja kumchukua kwa private car,ameniambia wameachiwa baada ya kugoma kula ndipo balozi mdogo wa Tanzania nchini Malawi ambaye amedai ni mzanzibar kuwatembelea gerezan baada ya mazungumzo siku iliyofuata wakapelekwa mahakaman wakaachiwa kutokana na vielelezo kutokuwepo,pia muda waliokua gerezan.hata hivyo mwezake alikufa wakiwa njia hivyo kuzikwa huko malawi.yey kaenda mpakani akadandia mafuso kuja bongo

Heshima kwako mkuu
 
Mkuu, ni ngumu kuielewa tetesi, Makuruzo kapotea miaka mingi, huyo Mwakuruzo anamjua Tongoni but Makuruzo mida hii anauingia mji alioupenda
Naunga mkono hoja ya kutaka kuwajua nguli wetu waliowika katika medani za soka miaka ya 80 na 1990

Mkuu Obi imaonekana umeamua kutetea tetesi yako kwa gharama yeyote hawa wachezaji uliowataja kuwa walicheza na huyo MAKURUZO nawafahamu vizuri tena sana RAZAK namfahamu mpaka kwao na ndugu zake,JUMA MGUNDA kabla hajahamia COASTAL UNION kutokea Kurugenzi Dodoma nilimfahamu kwa kipindi hicho huyo kiumbe HUSSEIN MAKURUZO hakuwepo COASTAL ya wakati huo.. ilikuwa

VIONGOZI
SALIM BAWARIR
ALLY HANIU

MDHAMINI
SEIF MATAMBUU

KOCHA

ZAKARIA KINANDA

MAGOLIKIPA
MOHAMED MWAMEJA
HAMISI MAKENE

WALINZI WA WEMBENI

SALIM SAID KOLONGO
ALI MWALIZA

DOUGLAS MUHANI
JOSEPH LAZARO

WALINZI WA KATI

YASIN ABUU NAPIL
ELISHA JOHN
ABDALLAH TAMIM

VIUNGO

ALI MAUMBA
KASSA MUSA
IDRISA NGULUNGU

SAFU YA USHAMBULIAJI

JUMA MGUNDA
HUSSEIN RUGA MWAKURUZO
RAZAK YUSUPH 'CARECA'
ABUBAR HASSAN
AGGREY CHAMBO

Sasa tueleze huyu MAKURUZO unae mng'ang'ani kacheza na kina Razak yupi na Mgunda yupi? kama kuna zaidi ya hawa nilikupa maelezo yao....na ukiendelea kubisha nitakupa namba ya RAZAK umuuliza kama aliwahi kucheza na huyo unaye muita MAKURUZO....HUSSEIN ni kweli kaondoka miaka mingi na wachezaji waliondoka kipindi hicho ni pamoja na ALI MAUMBA 1991..KASSA MUSAA aliondoka 1992 na wote hawa bado wako mbele..na wachezaji wengine wazamani wa COASTAL ambao sina sababu ya kuwataja wote waliondoka miaka mingi iliyopita.
 
Tongoni!

Unaweza kuwa sahihi kwenye kuwataja na kuonesha utata wa nilichoandika, ni tetesi.
Huyo Careca naye alikuja baadae kujihusisha na kubeba dawa za kulevya miaka ya 90? ninayemuongelea mm ni Hussein Makuruzo mchezaji wa coastal aliwika vilivyo na baadaye alijiingiza kwenye masuala ya madawa ya kulevya, alikamatwa Malawi na tangu mwaka 1994 ndo katoka februari hii, tunaweza kuwa tunatofautiana kutamka, kamwe Mwakuruzo siwezi kuandika Makuruzo
 
Mtoa habari amekusudia HUSSEIN RUGA MWAKURUZO ukitazama majina aliyo orozesha ya wachezaji waliocheza na huyo aliye muita HUSEIN MAKURUZO ni waliokuwa katika kikosi cha wakati wa MWAKURUZO na hakukuwa na mtu mwenye jina linalofanana na hilo
Anaishi Mji wa Leicester,Uk na anaendesha mabasi ya Arriva.
Anakaa sehemu moja inaitwa St mathew.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom