Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,810
- 831,017
- Thread starter
- #281
🥺🥺🥺🥺Kapumbavu, eti Amphibia! Nyie mmemshindwa mpaka msaidiwe na wengine kaone! 4 o'clock mnapigwa tu! Wanaficha nini sasa? Lakini tangu kipindi kile si tulikubaliana kama Taifa kwamba tuwe tunapeana taarifa za ugonjwa? Aangalie kiti kitaenda u'wachu!