Tetesi:hakuna 'A' za history wala economics. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi:hakuna 'A' za history wala economics.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, May 2, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wakuu!!leo nilikua najaribu kuangalia matokeo ya hawa wadogo zetu wa kidato cha 6,nimeona kwenye zile shule maarufu kama marian girls,mzumbe,tabora boys,galanos,umbwe,tosamaganga,ilboru nk hakuna mwanafunzi hata mmoja aliyethubutu kupata ''A''za hayo masomo mawili hapo juu.tatizo ni nin,maswali yalitoka sayari nyingne au ndo ile sera ya ccm ya kupunguza mangwini inatekelezwa kiujanja ili wapate walimu wakutosha?
   
 2. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  kwa history cjui, ila economics inawezekana kwasababu pepa ilivuja hlf ikabadilishwa kwahyo wakaingia na kukutana na kitu wasichokitegemea, hlf hiyo iliyoletwa ilikuwa imekunjwa vibaya, hapo ni kwa upande wa pepa 2
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jamaa wanakaza sana
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwaka huu ni maumivu sana 1•3 ziko 4 tz nzima tunategemea nn jamani
   
 5. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Wameanza kuachana na vitini vya Nyambari Nyangwine kwa hiyo vijana kupiga U turn imekuwa ngumu!
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Economics haina mbabe, sitaki hata kukumbuka....ilinifanya nikose point 4
   
 7. Raphael9

  Raphael9 Senior Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa naweza apply faculty gani? Na vyuo gani na vp? MKOPO? HIST-S GEO -E na KISW- D
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ukiona ilboru hakuna tatu basi ujue pepa ilikua soo
   
 9. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu History zipo:-
  Mojawapo hii hapa toka Mpwapwa Sekondari
  [TABLE="width: 70%"]
  [TR]
  [TD="width: 6%, align: center"]
  S0138/0551​
  [/TD]
  [TD="width: 4%, align: center"]
  M​
  [/TD]
  [TD="width: 22%"]FARIDI ABDALLA
  [/TD]
  [TD="width: 6%, align: center"]
  4​
  [/TD]
  [TD="width: 4%, align: center"]
  I​
  [/TD]
  [TD="width: 58%, align: center"]
  G/STUDIES-S HISTORY-A KISWAHILI-A ENGLISH-B ​
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 10. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu Ilboru siku hizi ilishapinduliwa na Kibaha
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  shule gan hyo mkuu,ckubahatka kuiona?
   
 12. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mpwapwa Sekondari
   
 13. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  mpwawa sec.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa nini Ilboru? Hao ndiyo ma genius?
   
 15. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu nasikia huwa wanapewa paper hawa. Kuna mwaka walinyimwa wakavunja ofisi ya mkuu wa shule na mkuu huyo akahamishwa mara moja kwa kuwagomea.
   
 16. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mkuu me nme dondokea pua nina
  phy-E
  geo-D
  math-D
  coz gani naeza pata na mkopo pia???
   
 17. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Dah pepa ilikuwa soo, maana dogo alikuwa kilakala pcm tulijua lazima alete point 3 ya kwanza kwenye ukoo but kaishia kupata point 5 kweli necta ni wa....
   
 18. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ualimu unapata na mkopo pia
   
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hakika nakubali, kimbilio la waliofeli ni ualimu na upolisi.
   
Loading...