Tetesi: Eti hatuko naye tena?

This is a very strong condemnation. Unless you have evidence with what you are saying.

Hakuna kitu kama unawajua sana....unlesss wewe ndo mama uliyemfumania mumeo na camera....kuna maswali yabidi ujiulize....huyo baba kaanza ku-cheat lini? kama alijua mumewe yu mgonjwa kwa nini afanye vituko vyote vile? kwanini ang'anga'anie na aseme kwa ujasiri sana kuwa yeye pale haondoki....na akazungumzia mali za mumewe na jinsi asivyoweza ziacha?mbwembwe zote zile zaweza kuwa zilikuwa kwa ajili ya ku-justify aliyoisha yafanya....manake kuna sumu za kuua taratibu si kila sumu inaua hapo kwa hapo....nyingine zachukua hata miaka,zinaanza figo,maini then mengineyo....nina mashaka sana...yale maandalizi ya fumanizi yanaleta maswali
If only walls could talk....
 
Mimi Salma simjihi zaidi ya kuangalia ile crip. Lakini angekuwa ni mama mwenye roho mbaya hata mawifi zake wasingekuwa wanamnanga yule nyumba ndogo. Uliza walio kwenye ndoa! Yaani kama una roho ya korosho mmeo akiwa na nyumba ndogo kwa mawifi na mama mkwe ni sherehe. Kinyume na Bi Salma mawifi na wakwe zake walimficha mtoto ili kulinda ndoa wakati kama Salma ni mbaya wangeweza mshauri kaka yao aoe second wife kwani ni muislamu. Kwa hiyo wadada msichume dhambi. I still believe Salma is a good wife material.
 
This is a very strong condemnation. Unless you have evidence with what you are saying.

i have made it clear....nina mashaka....hakuna sehemu nasema ameua.....nimesema kuna maswali ya kujiuliza....if thats what you call condemnation....then i guess oxford will have to write a new definition for condemnation....i have more than fifteen cases of women who have killed their husbands and those are confirmed,we are still investigating other similar cases!
 
Nani amwoe halafu akafumaliwe live?

kwani huyo mama ana label usoni kwamba alifumania jamani?? akienda zake huko Abu Dhabi akakutana na zee lisilojua you tube au hata kijijini au hata mji mwingine unafikiri ni rahishi hivyo kufahamika? ni ngumu,anaweza kabisa kuolewa....she is not that famous...pia watu wanajua story but jina la huyo mama siyo kivile
 
yule mama hata kama haujui kiswahili ,ukiona video lake kwenye you tube tu hauwezi kumuowa. Nina hakika hata huko Abuzabi tayari wameliona, hivi youtube iko banned abuzabi?
 
huyo marehemu majid namfahamu,ni kijana ambae alikuwa anampenda na kumjali sana mama ake.miaka ya nyuma alikuwa si mpenda wanawake.na alikuwa akijali sana kutengeneza maisha yake.mungu amlaze mahali pema.mbele yake,nyuma yetu
 
yule mama hata kama haujui kiswahili ,ukiona video lake kwenye you tube tu hauwezi kumuowa. Nina hakika hata huko Abuzabi tayari wameliona, hivi youtube iko banned abuzabi?

umeshakunywa naona....njoo upumzike sasa....mimi nimesema kwa wale ambao hawana access na internet....au wana access but hawajui tumia au interested na internet,wataifikiaaje you tube,na katika you tube waweze kuiona hiyo video ya huyo mama katika zote zilizopo you tube? unless huyo mama katika kuweka CV yake mezani aseme na hilo....
 
kwani huyo mama ana label usoni kwamba alifumania jamani?? akienda zake huko Abu Dhabi akakutana na zee lisilojua you tube au hata kijijini au hata mji mwingine unafikiri ni rahishi hivyo kufahamika? ni ngumu,anaweza kabisa kuolewa....she is not that famous...pia watu wanajua story but jina la huyo mama siyo kivile

Mh kwa jinsi wabongo tunavyopenda kuchonga hata Mwarabu wa Abu Dhabi ataipata story nzima tuu hata kama ni baada ya miaka 15.
 
Unatuonea. Ila wanaume kubali kataa, kama si leo kesho. Mna mioyo myepesi na ni wepesi kuingia kwenye mitego ya masister du. Nakubali wapo walio waaminifu ila ni wa chache na wengine ndio hivyo wanakuwa waaminifu kwa muda baadae wanajiunga kundini.

Kwa kufuata mantiki hiyo, basi wanawake karibu woote nao ni potential chovywa chovywa.
 
Wanaume wanaotoka nje ya ndoa au mahusiano yao huchovya kwa akina nani?
 
Afu Nyani Ngabu hivi jina lako ni real. Nimekuona kwenye list ya friends kwenye face book account ya rafiki yangu nikashangaa! Wengine humu tunabwabwaja kwa kuwa tunatumia fake names. Aaah, nikiweka jina hapa nakuta talaka nyumbani!

Kwa kufuata mantiki hiyo, basi wanawake karibu woote nao ni potential chovywa chovywa.
 
umeshakunywa naona....njoo upumzike sasa....mimi nimesema kwa wale ambao hawana access na internet....au wana access but hawajui tumia au interested na internet,wataifikiaaje you tube,na katika you tube waweze kuiona hiyo video ya huyo mama katika zote zilizopo you tube? unless huyo mama katika kuweka CV yake mezani aseme na hilo....
hehehe hivi unazani Nilham Rashed hajawashtua? yule mama hafai harusini ,hafai msibani. sredi klosed
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom