TETESI:dr slaa kuunguruma jangwani 29/08/2015

Chagua ccm ipige madactari na wandishi wa habari wanesha sema watz ni malofa hadi wakwapua richmondi.epa.escrow .madibi.tembo na twiga mnapo jaa kwenye mikutano yao ndio ulofa wenyewe
 
Bila kuwa na chanzo cha uhakika..hii habari mi nadhani tuipuuze tu. Maana ililetwa tetesi nyingine hapa wiki iliyopita kwamba Dr.Slaa atanguruma kwenye ufunguzi wa kampeni za ccm jangwani j2 iliyopita..na hakuonekana. Cha muhimi tusubirie tu jmosi sio mbali..tutayaona yote siku hiyo.
 
daaah mzee anafaidi sana sasa hivi jamani sipati picha alivo na uhakika wa bao mbili kila siku kudadeki.. likizo ni nzuri jaman duuh
 
Mbona kwenye Taarifa ya Habari ITV saa mbili usiku James Mbatia kasema "tumenyimwa"?
ile ni habari ya mapema sana , mwenye mamlaka ya kuzuia venue ya mkutano wa uchaguzi ni tume ya uchaguzi , siyo wale wachumia tumbo wa manispaa ya ilala .
 
Source of informationa plz.

Facebook page ya Julius Mtatiro...ameeleza bayana kuwa kuna viongozi wa UKAWA walienda Tume na tume ikabatilisha maamuzi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala.

Imesemwa pia kisheria mgombea uraisi na mgombea mwenza hawaingiliwi na mamlaka za miji au Manispaa...wanaoomba ruhusa kwa hizo mamlaka ni wagombea ubunge na udiwani tu.
 
daaah mzee anafaidi sana sasa hivi jamani sipati picha alivo na uhakika wa bao mbili kila siku kudadeki.. likizo ni nzuri jaman duuh
Siku fulani hapo nyuma uliniomba nikueleze jina unalotumia hapa jf nalielewaje. Njoo kwangu usiku uingie geto kinyume nyume nitakupa majibu kwa vitendo. Naona akili yako haijakaa sawa una matatizo kama ng'ombe aliye kwenye heat period. Nitakutibu tu toroka uje nikufunze adabu. Makubwa jinga mnazidi kuongezeka tu, inakera.
 
Kuna video niliona mke wake katupia fb jana ilinikatisha tamaa.
Nadhani yule mama anahitaji psychological care...
 
Siku fulani hapo nyuma uliniomba nikueleze jina unalotumia hapa jf nalielewaje. Njoo kwangu usiku uingie geto kinyume nyume nitakupa majibu kwa vitendo. Naona akili yako haijakaa sawa una matatizo kama ng'ombe aliye kwenye heat period. Nitakutibu tu toroka uje nikufunze adabu. Makubwa jinga mnazidi kuongezeka tu, inakera.

nimekukosea nini mpaka unitukane ivo mazee?
 
wadau kuna news nimepenyezewa hapa kuwa dr slaa ataunguruma katika viwanja vya jangwani katika uzinduzi wa kampeni za UKAWA.chanzo hicho kimenyetisha kuwa dr ataenda kueleza ukweli kuwa CCM walitaka kumlubuni kwa kumweleza kuwa wangeweza mpa bilioni 4.7 kama angeweza kujiunga na chama hicho (CCM).chanzo hicho kimeenda mbali zaidi na kunidokeza kuwa dr slaa ataeleza jinsi CCM walivyoanza kumteka mke wake,mushumbusi kwa kusema kuwa kama mkewe angeweza kumshawishi dr na kujiunga CCM basi angepatiwa bilioni 2.1.baada ya kusema hayo mke wa dr slaa naye ataeleza ukweli wa jinsi mipango ilivyokuwa inafanywa.

Naona umekuja Pima upepo hapa ni safari ya mabidiliko tu aje slaa au apumzike tulipofika haturudi nyuma
 
Siku fulani hapo nyuma uliniomba nikueleze jina unalotumia hapa jf nalielewaje. Njoo kwangu usiku uingie geto kinyume nyume nitakupa majibu kwa vitendo. Naona akili yako haijakaa sawa una matatizo kama ng'ombe aliye kwenye heat period. Nitakutibu tu toroka uje nikufunze adabu. Makubwa jinga mnazidi kuongezeka tu, inakera.

mkuu hakuna mtanzania asiejua kutukana ni basi tu wakati mwingine tunalazimika tu kutojaza bangi sehem unapokaa ubongo,,, pia mi nikitakaga kucomment post ya mtu hua siangalii jina lake aisee that way sijui kama nilishawahi kukoment post yako yoyote,,, endelea tu kuipiga mkono, ikisimama ukaacha kupanda ujue kabisa in advance sitakuelewa...
 
Back
Top Bottom