TETESI:dr slaa kuunguruma jangwani 29/08/2015

TETESI:dr slaa kuunguruma jangwani 29/08/2015

wadau kuna news nimepenyezewa hapa kuwa dr slaa ataunguruma katika viwanja vya jangwani katika uzinduzi wa kampeni za UKAWA.chanzo hicho kimenyetisha kuwa dr ataenda kueleza ukweli kuwa CCM walitaka kumlubuni kwa kumweleza kuwa wangeweza mpa bilioni 4.7 kama angeweza kujiunga na chama hicho (CCM).chanzo hicho kimeenda mbali zaidi na kunidokeza kuwa dr slaa ataeleza jinsi CCM walivyoanza kumteka mke wake,mushumbusi kwa kusema kuwa kama mkewe angeweza kumshawishi dr na kujiunga CCM basi angepatiwa bilioni 2.1.baada ya kusema hayo mke wa dr slaa naye ataeleza ukweli wa jinsi mipango ilivyokuwa inafanywa.
Teh Teh Dr.W.Slaa jitokeze ukanushe kama una ubavu..! Josephine ni nkutagiliza muachie Slaa huru...
 
Last edited by a moderator:
Mambo yote ni Jangwani tarehe 29/08/2015 Uwanja sasa umesharuhusiwa kutumika. Ninaamini kuwa wanataka kuzuia move za UKAWA but kura zinaweza kufanya kazi yake bila hata ya kampeni ya majukwaani. Simu ni powerful. Ninawasihi wapenda mabadiliko wote wasilianeni na ndugu zenu wajengeni kisaikilojia na wape elimu. Wengi huwa waoga kuwa pengine wanajulikana wakipiga kura kuwa hawajamchagua fulani. Ngoja ninaanda mada yangu ya kuweka hapa siku chache zijazo.
 
Wewe humuoti Dr. Slaa? Mwenzako naona leo ameweka kando mambo ya msanii Lowassa na kumkumbuka Dr.
 
Wapumbavu na malofa tupo imara sana, mtanyooka mwaka huu.
Kwani Kikwete alifutwa lini kwenye list of shame?
Mbona ni Rais na amsemi!
Yaani ukiona mtu yuko ccm kanunue sanda ujiandae maana ni walkinh dead body
 
Kwa kweli unastahili ban kila siku wewe unakuja na tetesi umekuwa mfalme njozi ni kupoteza muda kudiscuss HOJA zako za tetesi mwacheni Dr.Slaa apumzike kwa amani akiwa tayari atarudi kwenye siasa kwa muda apendao mwenyewe stop this nonesense.
 
Back
Top Bottom