C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 166
nimekukosea nini mpaka unitukane ivo mazee?
msamehe bure
nimekukosea nini mpaka unitukane ivo mazee?
Siku fulani hapo nyuma uliniomba nikueleze jina unalotumia hapa jf nalielewaje. Njoo kwangu usiku uingie geto kinyume nyume nitakupa majibu kwa vitendo. Naona akili yako haijakaa sawa una matatizo kama ng'ombe aliye kwenye heat period. Nitakutibu tu toroka uje nikufunze adabu. Makubwa jinga mnazidi kuongezeka tu, inakera.
Kama hii habari ni kweli, tafadhali UKAWA msiruhusu kujishushia hadhi na kuwa kama CCM. Nenda Jangwani kueleza sera na kwa nini wananchi wana kila sababu na uwezo wa kuichukia CCM, na nini mtawafanyia tofauti na CCM - Basi. Haya mambo ya ooh nilitaka kuongwa na ccm, ooh mipasho ya taarabu, hayo waachie nzee ya Kiwira na mama wa manukato ya karafuu, na mkiti wao. Malikia anasema 'don't argue with a fool, otherwise people may not be able to make a difference". Msitukane, msikebehi,msikejeli, msibeze,. Eleza na fafanua sera.wadau kuna news nimepenyezewa hapa kuwa dr slaa ataunguruma katika viwanja vya jangwani katika uzinduzi wa kampeni za UKAWA.chanzo hicho kimenyetisha kuwa dr ataenda kueleza ukweli kuwa CCM walitaka kumlubuni kwa kumweleza kuwa wangeweza mpa bilioni 4.7 kama angeweza kujiunga na chama hicho (CCM).chanzo hicho kimeenda mbali zaidi na kunidokeza kuwa dr slaa ataeleza jinsi CCM walivyoanza kumteka mke wake,mushumbusi kwa kusema kuwa kama mkewe angeweza kumshawishi dr na kujiunga CCM basi angepatiwa bilioni 2.1.baada ya kusema hayo mke wa dr slaa naye ataeleza ukweli wa jinsi mipango ilivyokuwa inafanywa.
Jamiiforums haina maana tena Kama mtu akiota tu anachonga
Jangwani ipi nakati tushanyimwa