Tetesi: AICC

Marigwe

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
228
18
Nimepata habari ambazo zinatakiwa zithibitishwe kuwa AICC--Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Arusha--kilishtakiwa na aliekuwa mwajiriwa wake aitwae Dr Makando na Makando ameshinda kesi
ambapo inatakiwa alipwe na AICC takribani 200 milioni. AICC inasemekana imekuwa ikisuasua
kumlipa. Matokeo yake Akanuti za AICC zimekuwa attached kwa amri ya mahakama leo. Tunaomba
mwenye kujua ukweli atuthibitishie hasa kilichojiri.
 
Not AKanuti but Akaunti za AICC zilizoko benki za NMB, NBC na CRDB ndiyo zimekuwa attached.
 
Hebu tueleze vuzir walishatakiana kwa kosa lipi?wengine hatuna information zozote kuhusiana na hili.
 
Hakuna cha ajabu hapo kama walishindwa kesi dawa ni kulipa.
 
Tafadhali tupe details za hiyo kesi kwani naona kuna kitu tunaweza kujifunza hapa!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom