tetes:UDSM KUFUNGWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tetes:UDSM KUFUNGWA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by zubedayo_mchuzi, Jan 10, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kwa walio karibu na Maeneo hayo watujuze...hizi tetesi za kufungwa kwa udsm zina harufu ya ukweli...au uzushi tuuuuuu.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Umezipata wapi, au wewe ndiye unazianzisha!
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wamefukuza wanafunzi 13 na kusimamisha wengine wengi tu, zaidi ya 80. Hizo za kufungwa chuo sijazisikia
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ufuatilie mwenyewe kisha urudi humu!
  Ama mwulize aliyekuletea tetesi hizi.
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  jamaa ameni sms kwamba chuo kinaweza kufungwa,sasa nimeuliza huenda huyu presha zake tu...
   
 6. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hao walifukuzwa ni kwa ajili ya maandamano ya leo au? Haijitoshelezi, funguka zaidi
   
 7. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  UDSM, viongozi wake sasa wamezidi kukumbatia siasa, sioni 7bu za msingi kuwafukuza wale vijana, au kosalao ni kusema ukweli. Wamenisikitisha na kunihuzunisha sana. tafadhari wasikifanye ni kama sec
   
 8. m

  mbwai Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  poleni wana udsm ila kazeni buti kuwen na msimamo huohuo
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yawezekana! Mana hii sirikali ya ccm bana!
   
 10. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Enyi wana UDSM hizi information ni kweli leteni habari
   
 11. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hakuna dalili ya kufunga chuo kwa sasa licha ya hali ya usalama kuwa tete.
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kama hiki hadi sasa.
   
 13. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Bora kifungwe tu.. sasa kama hakuna wawakilishi wa serikaali ya wanafunzi tunategemea nini? mi niechoka na utawala wa huku. Yaani sem'ster imepita kiajabuajabu tu. Pease of sh*t
   
 14. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Na sasa hivi kuna tetesi kuwa viongozi waliofukuzwa wanakuja mabibo kulianzisha varangati. Adhabu iliyowekwa nachuo juu ya viongozi imesababisha wanachuo kuongeza hasira na kuamua kufanya lolote liwalo kwa sababu chuo hakina demokrasia tena.
   
 15. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  mkandara.mukandara,mkandarasi,mkanda nani kibendera HAPO
   
 16. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Poleni wadau,lakn huu uhuni wa hii serikali kwa kweli inakera sana yani
   
 17. L

  Lilwayne Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bora chuo kifungwe tu!! tutkandamizwa hadi lini?serikali imekalisha ****** tu lakini haitoi suluhu! kilichopo ni kwamba ofisi zote wa zichomwe na mukandara achomwe,****** huyu. mbona wao hawajafukuza baada ya kugoma baada ya vijimishahara yao kuchelewa?
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  Varangati tu ndo dawa ya ccm na serikali yake jeuli kiburi na rais wao legheleghe. Nchi imejaa uongo na udanganyifu kila kiongozi na kila idara. Km kikwete anaweza kuwaambia watz kuwa hawajui richmond wala dowans alafu fisadi mwenzie akawaambia watz tena mbele yake kuwa kikwete fisadi na ndio ukweli ubadhani kikwete kuna cku atakuja kukemea mafisadi?
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kesho kama hali itaendelea kuwa hvi,kuna uwezekano wa kutimuliwa,so wakazi wa mabibo,hall 2,hall 7,anzeni kupaki mizigo yenu mapema.
   
Loading...