Tetemeko lakatisha ziara ya clinton | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetemeko lakatisha ziara ya clinton

Discussion in 'International Forum' started by Ami, Jun 15, 2011.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Siku moja kabla Hillary Clinton hajatua Tanzania tetemeko lilitokea na kuleta taharuki kubwa jijini Dar es salaam.Kitu kama hicho kimetokea kule Eritrea mpakani na Ethiopia mara baada ya kufika kwake.Tetemeko lilisababisha mlima ambao haujapatapo kuripuka kutema cheche na matope angani 13.5km kutokana na hasira.
  Hali hii imepelekea yule mama kuogopa na kukatisha ziara yake ghafla.
  Obama naye alipokwenda Scotland mwezi uliopita yalimtokezea kama hayo.
  Sisi wenye imani tunajua hapo kuna ujumbe kwa wenye akili.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  ni hali ya hewa, usiwe na imani mbovu mbovu ila asante kwa taarifa.
   
 3. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kiimani yawezakuwa ni ishara au ujumbe. Kisayansi ni hali ya hewa na matukio ya kijiografia.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amen mpendwa
  nilipanga mungua kinijaalia nipate kuomba wasaha kidogo niongee na mwakasege nini maana ya matukio haya kiroho zaidi...

  ni ujumbe...lakin wanadamu weng ambao wanajitia wamesoma saaaaaaaaaaana na kuijua sayans vyema wataichukulia poa ishara i/izi..
  wamesahau njia za mwenyez mungu katika kuzungumza na ishara zake

  shetan katufunga sana ata ishara za nje nje si twasema sayans..

  to me yes ni ishara tena kubwa tu....

  lakin ashasema ...WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...here we go...
   
 5. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Sio IMANI wala HALI YA HEWA ni mambo ya mitikisiko inayotokea ndani ya dunia.
   
 6. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Imani?
   
 7. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe sio kila kitu imani,unapoelekea unakuwa kuamini ushirikina na uchawi!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa dada hii inaweza kuwa ishara kubwa na ujumbe ndani yake...
   
 9. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ami, hii ya kupatwa kwa mwezi leo inaashiria ujumbe gani kutoka kwa M'nyaazi Mungu?
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Aisee it was beautiful as if another planet ndio imesogea... (Ami sorry of course ujumbe umefika...)
   
 11. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Lucky you ambaye umeshuhudia kupatwa kwa mwezi. Wengine tumesikia tu!!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Lucky me indeed!!! Nilikua mahala pazuri nimeengalia toka umeanza.. beautiful nakwambia..
  nimejaribu kupiga na camera nipate picha ya ku brag but camera kiwango kidogo mno...
   
 13. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Askari umeuliza suala zuri ambalo mimi nalifanyia kazi na nina maarifa zaidi kuhusiana nalo.
  Hivi ninavyoandika ndio kwanza nimetoka msikitini kuswali suna ya kupatwa kwa mwezi.Waislamu walio wengi tuliokwenda pamoja naamini wamefuata maelekezo ya Mtume s.a.w bila kuhoji na bila kujua undani wake.Ndivyo wanavyopaswa kufanya kwani kila maelekezo ya mjumbe wa Mungu huwa ni kheri kubwa kwao.
  Kupatwa kwa mwezi ni ishara ya wazi kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya kuwepo kiama na jinsi kinavyoweza kuanza.
  Ilivyo hasa ni kuwa mwezi unapopatwa dunia na jua huchangia nguvu kuuvuta mwezi,hivyo tunaposwali ni wajibu kumuomba Mungu aupitishe mwezi kwenye njia yake kwa amani na kama kawaida kwa sababu pindi akiachia kidogo tu basi mwezi unaweza ukavutika na kusababisha balaa kubwa kama si kiama chenyewe.Hali ya hewa inaweza ikatibuka vibaya.
  Mwezi katika muda huu unakuwa na nguvu kubwa ya kuyavuta maji ya bahari upande wake ndiio maana ukiteremka pwani utaogopa kwa jinsi maji yanavyopanda juu.
  Sisi binadamu ndio wengine tunapuuza na kuona ni sayansi tu lakini wanyama na wadudu siku mwezi na jua vikipatwa huogopa sana,wengine hulizana na wengine kupiga kimya kisichokawaida yao.
  Hata dada yangu Ashadii namshauri siku kama hizi asitoe umuhimu wa kupiga picha za kamera,bora kuswali kwanza.Hizo picha mambo yakitibuka wala hakutokuwa na wa kumuonesha.
   
 14. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sawa Mkuu, jibu lako nimelisoma na nadhani nimekuelewa!
   
Loading...