Tetemeko la ardhi limepita hapa Arusha

Tetemeko la ardhi limepita hapa Arusha

Inawezekana limepit baadhi ya sehemu kwani niko arusha ila sijafeel chochote
 
Nitimuaje nje maana

nilihisi kama tren yaendeshewa chumbani
 
DATE AND TIME (UTC): 31-OCT-2014 17:04:58
LAT : -5.36
LON : 35.97
MAGN: 5.1
DEPTH Km: 10
LOCATION: Tanzania
EVENT ID: 4813265
 
Mi nimepishana nalo hila nikalipa hi halikunidhuru.
 
Mi nipo arusha...matetemeko nishayazoea...kila mke wangu akitoka kuoga na kitaulo chake huwa nasikia tetemeko kwenye viungo vyangu vya uzazi
 
mbona ampewi taharifa mapema na vyombo vya serikali au hawana vifaa
 
Daah!! Nilikuwa kitandani kausingizi kanapitapita ghafla nasikia kitanda kudun kudun!! Mazee nimeruka na panga nikajua jamaa wako uvunguni wanataka kunipiga roba za mbao... na ukizingatia leo kuna dada wa usafi kapita nikajua kawafungia!! usingizi wote kwisha nimetoka kuja kulamba bia kwa matei!!! (dom)
 
Nimelisikia nikatoka cha ajabu nimejikuta nipo nje peke yangu, mimi nadhani elimu itolewe hasa sehemu ambazo hutokea tetemeko kwa nadra sana, nawauliza wanajibu ati walifikiri gari kubwa linapita nje hii ni hatari sana
 
Niko Babati, maeneo ya Nyunguu limepita nikajua ni konyagi imenitikisa binti yangu Rozii kanipa akili, said Dady, aren't u afraid of the Earth Quake. :behindsofa:
 
==> Huku Dar limepita kiduchuuuu, Ritcher scale: 1.0 nikadhani ni mteteko
wa ESCROW MONEY ZINARUDISHWA TOKEA DODOMA...!!!
 
Nimelisikia nikatoka cha ajabu nimejikuta nipo nje peke yangu, mimi nadhani elimu itolewe hasa sehemu ambazo hutokea tetemeko kwa nadra sana, nawauliza wanajibu ati walifikiri gari kubwa linapita nje hii ni hatari sana

mjani wa arusha huo... majiran woooote wasijue n tetemeko ujue ww peke yako??? wote wanasena lory limepita! kumbe ww na bangi zako ukajua tetemeko!!
 
M5.1 - 55km SSE of Kondoa, Tanzania 2014-10-31 17:04:58 UTC

M5.1 - 55km SSE of Kondoa, Tanzania 2014-10-31 17:04:58 UTC


[h=3]Event Time[/h]
  1. 2014-10-31 17:04:58 UTC
  2. 2014-10-31 20:04:58 UTC+03:00 at epicenter
  3. 2014-10-31 13:04:58 UTC-04:00 system time

[h=3]Location[/h]5.365°S 35.966°E depth=10.0km (6.2mi)

[h=3]Nearby Cities[/h]
  1. 55km (34mi) SSE of Kondoa, Tanzania
  2. 92km (57mi) NNE of Dodoma, Tanzania
  3. 105km (65mi) NNW of Kongwa, Tanzania
  4. 114km (71mi) SSE of Nangwa, Tanzania
  5. 399km (248mi) WNW of Dar es Salaam, Tanzania
 
Back
Top Bottom